Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,645
- 164,792
Siku moja baada ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye,kutaka vigogo wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kung'oka,Mwenyekiti wa Tume hiyo,Jaji mstaafu,Damian Lubuva,amesema amekurupuka kutoa kauli hiyo,kwakuwa hajui ukweli kutoka serikalini.
"Kama Nape angeweza kuwauliza wakubwa zake,serikali na Tume ya uchaguzi nina uhakika hayo aliyoyasema asingeyasema, lakini kwakuwa hajui ukweli ndio maana amekurupuka tu na mimi siwezi kujibizana nae,"alisema.
Chanzo:Tanzania Daima
My take:
Nape unajitia sana aibu!