Jaji Lubuva ataka Tume ya Uchaguzi ifumuliwe

Ukiona hivyo jua wanao mtaji wa kupata kura, ambao ni ujinga wa wananchi walio wengi hasa vijijini na hawawezi kuboresha elimu kwakua ndiyo mtaji wao na watoto wao hawasomi huko kwenye shule za kata
 
Kiraza mbunifu ha ha ha ha ha endelea kubuni mapovu aisee!
 
wakati wa kutangaza matokeo Huyo jaji alizimia akamka wakamwambia endelea.
Anna ngwira kura 1057858 sawa na asilimia 0.5%
Hashimu rungwe kura 58756 sawa na asilimia 0.02%
.........
Aka kasauti huwa kananijia kichwani mara kwa mara sijui kwanini [emoji16]
 
Tume huru haiwezi kabisa kukubaliwa na CCM, ni kama ilivyo kwa suala la serikali tatu au moja. Siku ukiona CCM wamekubali tume huru basi ujue wamepata njia mbadala ya kuiba kura.
 
Anna ngwira kura 1057858 sawa na asilimia 0.5%
Hashimu rungwe kura 58756 sawa na asilimia 0.02%
.........
Aka kasauti huwa kananijia kichwani mara kwa mara sijui kwanini [emoji16]
Kasauti kabaya sana aisee
 
Back
Top Bottom