Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,084
Huyu babu huyu watamdhuru sasa hivi.
Wamepata jinsi ya kuiba kura vizuri zaidi.
Huyu babu huyu watamdhuru sasa hivi.
Sijuwi umemaanisha niniKama mmeshindwa kumdhuru Fisadi huyu mtamuwezea wapi
na GhanaSasa kama anajua hayo kwa nini kiherehere cha kusimamia uchanguzi,hizo tume zote ya Tanzania na Zanzibar haziko huru,Africa tume kidogo zenye uhuru ni Zambia,Kenya na Botswana.
Wewe unaelewa unachokiandika hakuna Tume huru za uchaguzi duniani?Hakujawahi tokea tume huru duniani na haitakaa itokee moja!
..Ama ujue kuwa ni AJENDA ya watu wengine kuibadili iwe watakavyo. Yeye ni kitangulizi cha "kupima maji ya Mto"....Huyo ni kada wa ccm, ukiona anatoa hayo matamko ujue siku zake ndani ya hiyo tume zimekwisha
Pia hata Nigeria na Senegal wana nafuu, na haya huja baada ya watu kutiana adabu.na Ghana
Tume inayokandamiza sehemu ya jamii yako unaionea fahari ya nini ?! Utumwa ?!.Hakujawahi tokea tume huru duniani na haitakaa itokee moja!