Jaji Lubuva ataka Tume ya Uchaguzi ifumuliwe

Jaji Lubuva ataka Tume ya Uchaguzi ifumuliwe

Jaji Lubuva Mungu anakuona alivyomfanyia Dad wetu Lowasa hiyo tume haifai kufumuliwa bali inatakiwa kuondolewa yote hafai tena kuendelea kushikilia nafasi hizo.

Lowassa ni Dad wako kuanzia lini?
Fikiri sawasawa acha kujipendekeza
 
Tume ya Lubuva ndiyo ya hovyo dunia nzima.Isipo undwa tume huru,tutakuja kufumuana huko mbeleni.Lubuva nadhani na yeye ni mnywaji wa viroba
 
Tume ya Lubuva ndiyo ya hovyo dunia nzima.Isipo undwa tume huru,tutakuja kufumuana huko mbeleni.Lubuva nadhani na yeye ni

mnywaji wa viroba

Wewe hujui unachokiongea check Wakenya na Tume yao Huru nini wanakifanya huwezi kulinganisha
Na Tz, kila siku ni visa na ngumi wananchi nao hawaitaki tena acha kutumika
 
Watu kama hawa wakishatoka nje ya madaraka ndio huwa wanazinduka. Ni aibu kwa Mzee mwenye mvi kama huyu kutumika
 
Tume ya Lubuva ndiyo ya hovyo dunia nzima.Isipo undwa tume huru,tutakuja kufumuana huko mbeleni.Lubuva nadhani na yeye ni mnywaji wa viroba
Huyu Mzee namchukia sana sipendi hata kuona sura yake
 
Back
Top Bottom