Jaji Lubuva ataka Tume ya Uchaguzi ifumuliwe

Jaji Lubuva ataka Tume ya Uchaguzi ifumuliwe

Haka kazee, na huyo aliyewateua(Baba Ubaya) hawafi kwanini?
 
Mr Kinje mimi si pro Gov. Lakini kwa aina ya watu tulionao sioni wa kutusaidia kupata tume huru. Hata wasomi wetu wanavunja moyo sana, bunge letu limejaa ushabiki mwisho wa siku ni NDIIOOOOOOOO

Wananchi wao wameshatiwa uoga na upofu


Hayo maoni yako!uchaguzi ushapita
subiri 2020 kama utakua hai
 
LUBUVA ndiye anatakiwa KUFULIWA.Yeye ndiye BOSS wa tume ya uchaguzi hivyo madudu yote yamefanyika chini ya uongozi wake.Hawezi kukimbia KIVULI chake.

Inaelekea hujui majukumu ya Tume, Jaji Katimiza wajibu wake
hukuridhika nenda Mahakamani.
 
Ni ngumu mno mno kumwambia shetani ETI aache kuwadanganya binadamu ili wasiingie motoni ili waende mbinguni! wakati shetani kazi yake KUU ni kuwadanganya watu ili waangamie!
 
Huwa nikisikia jina la huyu mzee nahisi kichefuchefu. Ndiye chanzo cha matatizo yote tuliyo nayo sahiv, yeye na yule wa Zanzibar cjui jecha Mungu anawaona
 
Huyo Mzee hata kusoma namba unaona nguvu hana kamechoka lakini kapo kwa ajili ya ujasiri wa kufanya A iwe M na wananchi wanaelewa tuu..huyo na kivuitu lao moja tuu
 
that will be "old wine in new bottle" tusitegemee mabadiliko saaaana,
 
Aseme ukweli kwamba watu hawakupiga kura kwa sababu ya kuona ni sawa na kupoteza muda tu kwa sababu CCM kulitia tume inaamua nani atangazwe mshindi na nani atangazwe hajashinda.
 
Yaani Lubuva hapo kupunguza makali ili asiwauzi wakubwa.

Wewe unafikiri ataanzia wapi kusema ukweli kwamba tume yake haiko huru na muundo wake haufai hata kwa kulumangia.

Labda aongee hayo maneno akiwa ndani tayari ndege njiani kuelekea kwa Malikia.
 
Huyu ni mmoja wa watu waliowahi kuweka elimu yao mfukoni kwa sababu ya tumbo

Sidhani kama ni tumbo as such, naona ni kukosa ujariri wa maamuzi kadri ya kweli na sheria na pia kuhofu juu ya ''kitakachofuata'' akikataa kutimiza matakwa ya mkuu
 
Hajawahi kustaafu huyu mzee tangu aache ujaji mahakamani....anatafuta mlango wa kutokea akastaafu
 
Mtu Mbaya sana huyu ndiye aliyeshiriki kutuharibia nchi hii leo imekuwa ya ovyo kuliko wakati wowote ule
 
Back
Top Bottom