Jaji Lubuva ataka Tume ya Uchaguzi ifumuliwe

Jaji Lubuva ataka Tume ya Uchaguzi ifumuliwe

Wakurugenzi wore ni wateuliwa wa Rais.Na katika awamu hii ili upate ukurugenzi ni lazima uwe kada wa chama.
Lubuva yupo sahihi ila kwa upande mwingine Lubuva=Jecha=Mutungi=Unafiki
 
Nakumbuka siku kama hz mwaka jana sauti ya mzee huyu ilivokuwa inanikera mpaka nkaamua kutokusikiliza radio na kutazama tv
 
Mr Kinje mimi si pro Gov. Lakini kwa aina ya watu tulionao sioni wa kutusaidia kupata tume huru. Hata wasomi wetu wanavunja moyo sana, bunge letu limejaa ushabiki mwisho wa siku ni NDIIOOOOOOOO

Wananchi wao wameshatiwa uoga na upofu

Wewe Tume huru unaijua
 
HUYU MZEEE LUBUVA ASIJIFANYE AMEPOTEZA NETWORK KISA YA UZEE, ANAJUA FIKA NI NANI ALIYESHINDA UCHAGUZI 2015 NA KWA ASILIMIA NGAPI NA ALIFANAYAJE NA TEAM YAKE PIA KUBATILISHA USHINDI HUO KWA GOLI LA MKONO.
NI HIVI MZEE LUBUVA ACHA KOMEDI TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI NA SIYO VIRAKA ACHIA NGAZI KWA MSHNIKIZA MKUU WAKO SASA YATOSHA NA SULUHISHO PEKEE YA HAKI KUPATIKANA KWA TUME HURU YA UCHAGUZI NA SIYO VIRAKA VYENU VYA GIZA HAPA, WATZ. TULIO WENGI TUNA AKILI ZAIDI MTUFIKIRIAVYO KUWA HUENDA SISI NI VIAZI VILE HIVYO UTAVIWEKA KWENYE GUNIA BILA MPANGILIO NEVER N EVER.

KUPATIKANA TUME HURU NI MWISHO WA GIZA HILI LA CCM, THEN KATIBA MPYA YA WANANCHI UTAMALIZA MATATIZO YA NCHI HII YA VIWANDA VYA KUSADIKIKA NA MAAGIZO MENGI YANAYOENDELEA.
 
Huyu ni mmoja wa watu waliowahi kuweka elimu yao mfukoni kwa sababu ya tumbo
Si wote hukalia elimu zao na kufanya madudu kwa ajili ya matumbo, bali wengine hulazimika kufanya madudu kwa kuwa huwamepewa an offer they couldn't refuse (Bastola kichwani).
 
tatizo la tume ya uchaguzi ni katiba ,mfumo wa katiba ufanyiwe marekebisho ,tume ni sehemu ya katiba ,haijiendeshi kwa kanuni zake inafuata kanuni za katiba ya nchi ,endapo tuna katiba yenye mapungufu huwezi kuwa na tume isiyo na kasoro.tuanze na katiba
 
Eti ofisi na wafanyakazi wake kwa kazi ipi wanayofanya?
 
LUBUVA ndiye anatakiwa KUFULIWA.Yeye ndiye BOSS wa tume ya uchaguzi hivyo madudu yote yamefanyika chini ya uongozi wake.Hawezi kukimbia KIVULI chake.
 
Haka kazee haka sitakasahau.....
Anna Elisha Mngwira Act kura 124 sawa na asilimia 0.008
 
Back
Top Bottom