mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
wewe ligogo a.k.a gogo hyo sheria umeitunga wewe au unataka iwe hivyo..?
Nataka iwe hivyo maana nchi yetu itabakia Na wanyama pori ZIRO
wewe ligogo a.k.a gogo hyo sheria umeitunga wewe au unataka iwe hivyo..?
Labda umemaanisha mshindi aina ya sabuni mana sijaona hoja uliojibu zaidi ya vioja..ndomana nikasema ZIRO ni halali kuwa na tundu..usipende sana kutumia pampas kijanaNajiona mshindi sana maana siri ya mtu alieshindwa hoja ndo hyo kuhara hadi kwa mdomo... Ukilala usisahau pampass
Nataka iwe hivyo maana nchi yetu itabakia Na wanyama pori ZIRO
ahaaa kumbe wewe unataka iwe hivyo... ila mada hapa ni jaji yuko sahihi au sio? Kulingana na sheria iliopo na sio unavyotaka weweNataka iwe hivyo maana nchi yetu itabakia Na wanyama pori ZIRO
Huku kwetu denis denny maana yake mwanamke mjamzitoLabda umemaanisha mshindi aina ya sabuni mana sijaona hoja uliojibu zaidi ya vioja..ndomana nikasema ZIRO ni halali kuwa na tundu..usipende sana kutumia pampas kijana
POVU LINAKUTOKA MJOMBA ATAZAA TRIPUHIIJaji anaongozwa na Sheria na kama huridhiki Jamhuri inakata rufaa sio kuleta Umbea mitandaoni
Povu limemtokaa kama kaguswa pandezilembona umepanic ghafla.
Sheriaa iliomfungishaa yule kijana wa mirungi miaka 30 niya nchi gani huyu mbwaa akapewa alipe mil kumi NA alikuja NazoMNS alijua NA adhabu anayopewaYawezekana kwenye sheria mtu akilipa faini sio lazima iwe na thamani sawa na kosa lake! mbona makosa ya barabarani yana faini ndogo na unakuta mtu aliyegongwa kafa au hata kapoteza kiungo. hata hivyo mie sio mjuzi wa sheria
MANYERERE BRDA SIO WANYAMA TUKuna hukumu imetolewa na Jaji mjini Moshi ya faini ya Sh milioni 10 kwa raia wa Vietnam aliyetiwa hatiani kwa kosa la kukutwa akiwa na meno 60 (tembo 30) na kucha 260 za simba. Adhabu ya faini ya Sh milioni 10 ni ndogo mno.
Nini kilichomwongoza kutoa hukumu hii? Mamlaka za uchunguzi zifanye kazi kubaini kilichomfanya Jaji atoe hukumu nyepesi namna hii. Tukiwachekea watu wa aina hii wanyama watatoweka.
Nawasilisha.
Kenya waliweka utaratibu wa kamati maalumu kupitia hukumu nyeti na kuona ni zipi zenye mwelekeo wa rushwa na wahusika kuchukuliwa hatua.Kuna hukumu imetolewa na Jaji mjini Moshi ya faini ya Sh milioni 10 kwa raia wa Vietnam aliyetiwa hatiani kwa kosa la kukutwa akiwa na meno 60 (tembo 30) na kucha 260 za simba. Adhabu ya faini ya Sh milioni 10 ni ndogo mno.
Nini kilichomwongoza kutoa hukumu hii? Mamlaka za uchunguzi zifanye kazi kubaini kilichomfanya Jaji atoe hukumu nyepesi namna hii. Tukiwachekea watu wa aina hii wanyama watatoweka.
Nawasilisha.