Kwa mjibu wa sheria ya
Wanyamapori Na.5 ya 2009 kifungu cha 86(1) inakatazaa kumiliki, kuuza, kununua au kujihusisha kwa namna yoyote na nyara za serikali. Kifungu kidogo cha (2) cha fungu hilo la 86 kina vipengele (a) na (b) vinatoa maelekezo sahihi namna ya kutoa hukumu kwa anayevunja kifungu (1) kutegemea kwamba mnyama ambaye nyara husika imekamatwa anapatikana kwenye sehemu gani ya jedwali. Kwa mfano tembo yuko kwenye sehemu ya kwanza ya jedwali namba 1 na thamani yake ni zaidi ya laki moja, hivyo faini yake inatolewa na kifungu cha 86(2)(b) na inatakiwa iwe si chini ya mara 10 ya dhamani ya mnyama. mfano tembo ni kati ya dola 18000 hadi 20000 sawa na mil 37 au 41 sasa ukizidisha mara 10 utapata ni bilion kadhaa. Na Hakimu au jaji ameagizwa ktk kifungu 86(3)(a)&(b) namna ya kutoa hukumu kulingana na "certificate of value of trophies", Hivyo basi kuna mawili; Jaji anaweza akawa sahihi au wrong kutegemea na Afisa aliyeandaa "Certificate of Values of trophies", kama aliandaa vyema kwa mujibu wa "Valuation of Trophy Regulation" basi jaji yupo wrong ila kama aliandaa vby basi jaji anaweza kuwa sahihi.
We usie na mizuka unaona halali mtu kakamatwa na nyara za serikali mara 30 ya hela aliyotozwa na huyo jaji...Huyo aliesuggest mwambie anataka atoe adhabu gan ambayo ipo pale ... Jaman tuache mizuka
Aise ni halali kabisa jaji ametenda haki kwa sheria iliopo.Vp wewe sheria yako inasema apewe adhabu gan mkereketwa..We usie na mizuka unaona halali mtu kakamatwa na nyara za serikali mara 30 ya hela aliyotozwa na huyo jaji...
Kweli ni haki ZIRO ikawa na tundu katikatiAise ni halali kabisa jaji ametenda haki kwa sheria iliopo.Vp wewe sheria yako inasema apewe adhabu gan mkereketwa..
Sheria makengeza..! Kiuhalisia kilichotoka ni zaidi ya 30M...hizi ni za mlango wa nyuma watu wameselfikaKuna hukumu imetolewa na Jaji mjini Moshi ya faini ya Sh milioni 10 kwa raia wa Vietnam aliyetiwa hatiani kwa kosa la kukutwa akiwa na meno 60 (tembo 30) na kucha 260 za simba. Adhabu ya faini ya Sh milioni 10 ni ndogo mno.
Nini kilichomwongoza kutoa hukumu hii? Mamlaka za uchunguzi zifanye kazi kubaini kilichomfanya Jaji atoe hukumu nyepesi namna hii. Tukiwachekea watu wa aina hii wanyama watatoweka.
Nawasilisha.
Kuna hukumu imetolewa na Jaji mjini Moshi ya faini ya Sh milioni 10 kwa raia wa Vietnam aliyetiwa hatiani kwa kosa la kukutwa akiwa na meno 60 (tembo 30) na kucha 260 za simba. Adhabu ya faini ya Sh milioni 10 ni ndogo mno.
Nini kilichomwongoza kutoa hukumu hii? Mamlaka za uchunguzi zifanye kazi kubaini kilichomfanya Jaji atoe hukumu nyepesi namna hii. Tukiwachekea watu wa aina hii wanyama watatoweka.
Nawasilisha.
Jaji anaongozwa na Sheria na kama huridhiki Jamhuri inakata rufaa sio kuleta Umbea mitandaoni
Aise ni halali kabisa jaji ametenda haki kwa sheria iliopo.Vp wewe sheria yako inasema apewe adhabu gan mkereketwa..
Mkuu ni USD$ 10M Au macho yangu yana zeeka
Hapo sawa ningashangaa mbulula kama wewe ungekua unajua sheria kabla ya kukurupuka.. huna tofauti na nyegereKweli ni haki ZIRO ikawa na tundu katikati
Mwandishi wa habari kanjanja,nenda darasani ukasome,
Hata sheria zenyewe huzijui,Ile Habari yako ya Dr Mpoki umefikia wap?
wewe ligogo a.k.a gogo hyo sheria umeitunga wewe au unataka iwe hivyo..?Weye ZIRO kweli kweli.Sheria Mtuhumiwa angelipa faini ya 50M Na miaka kumi jela ili iwe fundisho Kwa majangili wengine
Sishangai ZIRO kuwa na Tundu na mzungu anasema matundu yote hutumikaHapo sawa ningashangaa mbulula kama wewe ungekua unajua sheria kabla ya kukurupuka.. huna tofauti na nyegere
Tatizo sio Jaji ni sheria yenyewe ilivyo!Hapa unatakiwa uwaambie wabunge wakarekebisheKuna hukumu imetolewa na Jaji mjini Moshi ya faini ya Sh milioni 10 kwa raia wa Vietnam aliyetiwa hatiani kwa kosa la kukutwa akiwa na meno 60 (tembo 30) na kucha 260 za simba. Adhabu ya faini ya Sh milioni 10 ni ndogo mno.
Nini kilichomwongoza kutoa hukumu hii? Mamlaka za uchunguzi zifanye kazi kubaini kilichomfanya Jaji atoe hukumu nyepesi namna hii. Tukiwachekea watu wa aina hii wanyama watatoweka.
Nawasilisha.
Najiona mshindi sana maana siri ya mtu alieshindwa hoja ndo hyo kuhara hadi kwa mdomo... Ukilala usisahau pampassSishangai ZIRO kuwa na Tundu na mzungu anasema matundu yote hutumika