Jaji huyu achunguzwe haraka

Jaji huyu achunguzwe haraka

hwa majaji wenyewe kadi za CCM tulishawapigia kelele weee
Mkuu Hapo Ndiyo Kinyaa Kinapoingia Kiongozi Anatoa Hukumu Mfukoni Ni Mwanachama Wa Ni Ile Ile! Mbele Kwa Mbele.

Hukumu Hiyo Inaweza Kuwa Ni Namna Ya Ule Msemo
Ambao Ukisema Ukweli Ya Kilichomo Humo
Utaambiwa Ramli Chomganishi Hiyo.
 
Ahukumiwa miaka 20 jela


By Hadija Jumanne, Mwananchi hjumanne@mwananchi.co.tz
Dar es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Ilala mkoani hapa, imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela au kulipa faini ya Sh211 milioni Said Zomola (30) baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na vipande 14 vya meno ya tembo.

Mshtakiwa huyo anadaiwa kukutwa na vipande hivyo vyenye uzito wa kilo 24 vyenye thamani ya Sh21 milioni mali ya Serikali.

Hakimu Mkazi Mwandamizi, Juma Hassan alisema ametoa hukumu hiyo baada ya Mahakama kuridhishwa na ushahidi wa mashahidi saba.

Hata hivyo, wakati hukumu hiyo ikitolewa, mshtakiwa huyo hakuwapo mahakamani baada ya kuruka dhamana.

“Baada ya kuwasikiliza mashahidi hao wote mshtakiwa alitakiwa afike mahakamani kwa ajili ya kutoa utetezi wake, lakini ameshindwa kwa kuruka dhamana na hivyo mahakama inamtia hatiani kama alivyoshtakiwa pasipo kuwapo,’’ alisema.

0
 
Mtoa mada nadhani amekurupuka, kuna dhana inaitwa independence of judiciary, ukiisha ilewa uje sasa kivingine. Hapa brother ume-expose your ignorance
 
Wanaohoji sheria zimekaaje, watueleze huyu hakimu wa ilala na jaji wa moshi wametumia sheria za aina gani kutoa hukumu hizi. Jaji ana walakini.
Safi mkuu!! Umewakamatia kwenye kona! Kuna watu humu ukizungumzia habari ya Ndovu wanamwaga povu balaa! Sijui kwa nini?
 
bora na sasa wanahukumiwa kulikoni huko nyuma ambako na kesi yenyewe wala usingejua mwisho wake.
 
Mnajua utaratibu wa kuchunguza majaji ukoje ? naamini waendesha mashtaka wapo na kama hawaridhika watakwenda ngazi za juu
 
Hii ni hatari, faini inataka kufanana na faini ya kosa la 'uchochezi'.

Afrika kwa waafrika.
Mkuu umenichekesha.... unaweza kuta wako makini kubadili sheria za kuwabana wachochez wakati nyingine haziguswi, hawana muda nazo na ndo maana unakuta hukumu za hivi...
 
Yawezekana kwenye sheria mtu akilipa faini sio lazima iwe na thamani sawa na kosa lake! mbona makosa ya barabarani yana faini ndogo na unakuta mtu aliyegongwa kafa au hata kapoteza kiungo. hata hivyo mie sio mjuzi wa sheria
Mkuu sheria ya sasa nadhani faini ni mara 10 ya thamani ya nyara uliyokutwa nayo.
 
Jaji anaongozwa na Sheria na kama huridhiki Jamhuri inakata rufaa sio kuleta Umbea mitandaoni

hapo kaka unatetea upuuzi tu! rushwa kala kwa asilmia 100, juzi nilikuwepo mahakama moja mtanzania maskini kbisa kahukumia kifungo cha miezi sita jela kwa kukutwa na ngozi simba tu!
 
Kuna hukumu imetolewa na Jaji mjini Moshi ya faini ya Sh milioni 10 kwa raia wa Vietnam aliyetiwa hatiani kwa kosa la kukutwa akiwa na meno 60 (tembo 30) na kucha 260 za simba. Adhabu ya faini ya Sh milioni 10 ni ndogo mno.

Nini kilichomwongoza kutoa hukumu hii? Mamlaka za uchunguzi zifanye kazi kubaini kilichomfanya Jaji atoe hukumu nyepesi namna hii. Tukiwachekea watu wa aina hii wanyama watatoweka.

Nawasilisha.


Siku hizi sh milioni kumi hata chumba cha kulala usiku mmoja hoteli ya kitalii ya maana hupati.
 
Kuna hukumu imetolewa na Jaji mjini Moshi ya faini ya Sh milioni 10 kwa raia wa Vietnam aliyetiwa hatiani kwa kosa la kukutwa akiwa na meno 60 (tembo 30) na kucha 260 za simba. Adhabu ya faini ya Sh milioni 10 ni ndogo mno.

Nini kilichomwongoza kutoa hukumu hii? Mamlaka za uchunguzi zifanye kazi kubaini kilichomfanya Jaji atoe hukumu nyepesi namna hii. Tukiwachekea watu wa aina hii wanyama watatoweka.

Nawasilisha.
Unatia kinyaa sana no wonder pamoja na kujipendekeza kote hata u DC ukakosa!!
 
kuna mtumishi hewa alikua anadaiwa milion 9 akapelekwa mahakaman akaambiwa alipe fain laki 8 au kifungo miaka miwili kalipa zake laki nane huyoo yuko nje kesi imeisha
hapo tu ndio nnapoipendea sheria aisee
 
Back
Top Bottom