Yaani una wivu na mbowe mwana mme mzima, tatizo lako umeishi sana kwa shemeji hadi una chembe za kike.Awasilishe mahakamani kama anao ushahidi juu ya hayo anayo mtuhumu nayo, sio kumchafua Jiji bila ushahidi.
Kama hakuna ushahidi Jaji aendelee.
Kibatala anazidi kumchimbia shimo bila yeye kujielewa maskini Mbowe!!!
Hoja ya kitoto kweli hiyo eti unamkataa Jaji?!! Tena unatoa tuhuma za kizushi na majungu ya kumchafua Jaji?
Halafu hao mawakili wanamfundisha ujinga kama huo!!