Jaji aliyetoa hukumu ya Lema ni nani haswa?

Kwa hili nitamtetea Jaji Mihayo maana kesi ya Nguza ilisikilizwa na jopo la majaji ila yeye alisoma hukumu kwa niaba yao. Pia ikumbukwe kuwa Jaji Mihayo ni mmoja kati ya majaji smart sana hapa nchini kimaadili na hata kiutendaji kazi na ndio maana mkuu wa nchi akamteua kuwa mwenyekiti wa kitengo cha kusimamia manunuzi ya umma nchini kazi ambayo kama huna moyo wa kupenda mali kiasi huwezi kuifanya maana wote tunajua masupplier wa serikali wanavyotunyonya.
 
Wateule wa huyu mkuu wa nchi ni smart kimaadili? Hawa kina Werema!
 
Jamani mwenye uthibitisho na hili tetesi tunaomba afunguke zaidi kwani kwani kila unaeongea nae anakwambia ndio ni kweli,sasa mwenye uhakika na detail za kutosha tunaomba amwage hapa jamvini.

1.-Umesikia TETESI.
2.UKAZIPIMA.
3.SIJUI ULIVYO ZIONA.
4.Hukufikiri kwa makini.
5.UKAAMUA kuazima UBONGO WA WENZAKO!
-MY TAKE:
1:Nenda MUHIMBILI kapime kipimo cha kitaalamu cha CT SCAN kupima kama una ubongo.
2.WAKIKUTA UPO(Kumbuka hata kuku anao) waambie Dr MJINGA{Ma Dr MUHMBILI wananijua kwa jina hilo) kapime kipimo kingne cha kikubwa zaidi kinacho itwa (MRI) Ili kuchunguza ukubwa na UWEZO WA UBONGO wako na kulinganisha na wa BINADAMU WENGINE!
3.Wakikuta ni wa kawaida ni PM Empty msg halafu nitajua la kufanya!
-Eliahkamwela anakutuhumu kwa ukilaza mkubwa!
 
Kwa hili nitamtetea Jaji Mihayo maana kesi ya Nguza ilisikilizwa na jopo la majaji ila yeye alisoma hukumu kwa niaba yao. Pia ikumbukwe kuwa Jaji Mihayo ni mmoja kati ya majaji smart sana hapa nchini kimaadili na hata kiutendaji kazi na ndio maana mkuu wa nchi akamteua kuwa mwenyekiti wa kitengo cha kusimamia manunuzi ya umma nchini kazi ambayo kama huna moyo wa kupenda mali kiasi huwezi kuifanya maana wote tunajua masupplier wa serikali wanavyotunyonya.
Uteuzi wa huyu mkuu wetu wa kaya usiutumie kama kigezo cha usmart wa mtu kimaadili na kiutendaji. Mara nyingi kama siyo mara zote huwa ni kinyume kabisa kabisa na hivyo unavyofikiria! Vigezo vyake vya uteuzi huwa anavifahamu na kuvibuni mwenyewe.
 
Great thinkers comparing criminal case and political case is like comparing apples and mangoes...please don't get pulled in this....Babu Seya and his son defiled minors. For those who still think of these people as victims visit kisutu magistrate court and ask for case proceedings. Remember that because the case involved minors it was held in a closed court.I belive it will put to rest the defense for these PAEDOPHILES.
 
This is JF nothing goes unearthed. Kesi ya babu seya iliisha ongelewa sana hapa. Kwa kifupi ni kwamba Rwakibalira hakuwahi kuhusika na kesi ya babu Seya. Kwa mtiririko tu ni kwamba Babu seya na wanawe walikuwa na hatia na kesi yao ilikuwa katika mtiririko ufuatao.

Mwaka 2003: Walitiwa hatiani na Principal Resident Magistrate Addy Lyamuya at the Kisutu Resident Magistrate's

Mwaka 2005: Baada ya Kuappeal High court of Tanzania Judge Thomas Mihayo ali uphold the decision of Addy Lyamuya

Mwaka 2010: Court of Appeal of Tanzania (under Justices Nathalia Kimaro, Mbarouk Mbarouk and Salum Massati ) iliwaachia watoto wawili wa Babu Seya na ku-uphold hukumu ya Babu Seya na Papi Kocha.

Soma zidi link hii https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/52669-rufaa-na-hukumu-ya-babu-seya-2.html
 
And basically JK hahusiki na akina Papi Kocha na baba yake kwa kuwa hayo yalitokea yeye akiwa waziri wa mambo ya nchi za nje
 
Jaji Thomas Mihayo ndiyo aliyemhukumu Babu Seya lakini sio kweli kwamba ndiyo aliyemhukumu Mb. G. Lema.
Jamani humu jamvini tusiwe wepesi wa kuhukumu kwa hisia Aliyemhukumu Babu Seya na wanawe ni Resident Magistrate incharge kwa wakati huo wa Kisutu Jaji Thomas Bashite Mihayo alisikiliza rufaa ngazi ya mahakama kuu. Kwa mwanasheria makini Seya na wanawe kwa kuzingatia ushahidi uliotolewa mahakamani ni kweli walitenda matendo ya aibu hivyo basi vifungo walivyopewa ni haki yao despite kuna wa/aliyeachiliwa huru na Court of Appeal. Jakaya Mrisho Kikwete has nothing to do with Babu Seya's case. You can prove me wrong with concrete,relevant and credible evidence.
 
JF sio sehemu ya porojo...Hukumu ya Babu Seya, ilitolewa na jopo la Majaji watatu.
Nathalia Kimaro, Salumu Massati, Mbarouk Mbarouk.

Hongera sana ritz, kwa kukurupuka hakuna kama wewe...napendekeza upewe tuzo maalum humu JF! Hawa majaji walisikiliza tu rufaa ya hukumu iliyotolewa awali na mahakama kuu.
 
1.-Umesikia TETESI.
2.UKAZIPIMA.
3.SIJUI ULIVYO ZIONA.
4.Hukufikiri kwa makini.
5.UKAAMUA kuazima UBONGO WA WENZAKO!
-MY TAKE:
1:Nenda MUHIMBILI kapime kipimo cha kitaalamu cha CT SCAN kupima kama una ubongo.
2.WAKIKUTA UPO(Kumbuka hata kuku anao) waambie Dr MJINGA{Ma Dr MUHMBILI wananijua kwa jina hilo) kapime kipimo kingne cha kikubwa zaidi kinacho itwa (MRI) Ili kuchunguza ukubwa na UWEZO WA UBONGO wako na kulinganisha na wa BINADAMU WENGINE!
3.Wakikuta ni wa kawaida ni PM Empty msg halafu nitajua la kufanya!
-Eliahkamwela anakutuhumu kwa ukilaza mkubwa!

Haahaaahaa duuuuh ebwana!
 
Back
Top Bottom