Jaji aliyetoa hukumu ya Lema ni nani haswa?

Kimazingira inaonekana hukumu hiyo ilipikwa na hivyo kujulikana kabla.Kwa mfano kwanini Polisi walijiweka tayari kwa mapambano ina maana walijua kuwa Ubunge wa Lema utatenguliwa?
 
Jamani mwenye uthibitisho na hili tetesi tunaomba afunguke zaidi kwani kwani kila unaeongea nae anakwambia ndio ni kweli,sasa mwenye uhakika na detail za kutosha tunaomba amwage hapa jamvini.
 
Sio kweli. Aliyemhukumu Babu Seya ni jaji (sasa Mstaafu) Thomas Bashite Mihayo. Wakati wa kesi ya Babu SEYa, Mhe. Gabriel Rwakibarila (aliyetoa hukumu ya Mhe. Lema) hakuwa jaji, alikuwa msajili wa mahakama kuu akishughulikia kitengo cha mawakili.
 
Afadhali kama amesha staafu
 
JF sio sehemu ya porojo...Hukumu ya Babu Seya, ilitolewa na jopo la Majaji watatu.
Nathalia Kimaro, Salumu Massati, Mbarouk Mbarouk.
 
JF sio sehemu ya porojo...Hukumu ya Babu Seya, ilitolewa na jopo la Majaji watatu.
Nathalia Kimaro, Salumu Massati, Mbarouk Mbarouk.

Jopo la majaji watatu hao ilikua ni mahakama ya rufaa,nafikiri mleta mada alimaanisha hukumumu ya mahakama kuu,japo nako aliyetoa hukumu si huyu jaji aliyemkomoa Lema,alikua ni jaji Thomas Mihayo
 
Ha ha haa wakuu inaelekea mko vizuri sana katika kuunganisha mambo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom