Jaden Smith (mtoto wa Will Smith) atangaza kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja

Msimamo wa Trump sio msimamo wa nchi au msimamo wa sheria.

MAHAKAMA YA JUU ya MAREKANI mwaka 2003 ILIHALALISHA MAPENZI YA JINSIA MOJA, na mwaka 2013 mahakama hiyo hiyo ilihalalisha NDOA ZA JINSIA MOJA. KWAHIYO, MATAMKO ya TRUMP ni maoni tu ambayo yanapeperushwa na UPEPO.

Huo ndio utawala wa sheria nchini marekani ambapo matamko ya Rais hayana nguvu ya kutingisha mihimili mingine ya serikali.

Sio kama huko kwenu TANDAHIMBA ambapo mkuu wa wilaya akijamba tu ushuzi wake unakuwa Sheria.
Inaonyesha msimamo wako unategemea msimamo wa watu wa marekani, maana umeshindwa kueleza msimamo wako na kuelezea sheria za marekani."Kuacha asili na imani yako na kuiga watu ambao hawajui asili wala imani yao(wasio jielewa)ni ujinga wa karne"
 
Mtoto wa Kiume wa Muigizaji Maarufu Duniani Will Smith, anayefahamika Kama Jaden Smith mwenye Umri wa Miaka 20 ametangaza Hadharani Kuwa Rapper na mchekeshaji Kutoka nchini Marekani Tyler the Creator alikuwa BoyFriend wake na Bado ni BoyFriend wake.



5be9bd6348eb1226cb40cf65-750-563.jpg


Kupitia Clip iliyoanza Kusambaa Sana Kwenye Mitandao ya Kijamii inamuonesha Jaden akiwa kwenye Stage akisia kuwa Tyler ni Rafiki yake Mkubwa wa Kiume na Bado Mpaka sasa wapo nae.

jaden-tyler-750x.jpg


Wengi wameitafsiri Hii Kama Jaden amekuwa akishiriki Mapenzi ya Jinsia Moja, Kwa Jinsi Alivyokuwa akiongea kwa Hisia kwenye Video hiyo na Ikimuonesha Tyler akiwa na Kicheko kinachomaanisha kuwa Kweli Wawili hawa kuna Jambo litakuwa Linaendelea.

Pia soma

Mtoto wa Will Smith (Jaden Smith) azama kwenye penzi zito la mdogo wake Kim Kardashian - JamiiForums

Jaden Smith aendelea kusimangwa kwa kuvaa nguo za kike - JamiiForums

Mtoto wa Will Smith (Jaden) akiliwa Mate live na Mwanaume mwenzie! - JamiiForums

Baba yake mwenyewe ni punga yule!
 
MBONA UNAWEWESEKA?

WEWE UMELETA KIJARIDA UCHWARA HAPA UKITAKA KUAMINISHA WATU KUWA DONALD TRUMP ANAPINGA USHOGA.

NIMEKUELEZA KWAMBA, NA NARUDIA TENA, MAREKANI NI NCHI YENYE MISINGI IMARA YA SHERIA PAMOJA NA TAASISI ZISIZOYUMBISHWA NA MTU AU KIKUNDI CHA WATU.

MAONI YA TRUMP JUU YA USHOGA NI SAWA SAWA NA UPEPO TU WALA HAYABADILISHI CHOCHOTE.

HUKO KWENYU / KWENU TANZANIA NA SHITHOLE COUNTRIES ZA SAMPULI HIYO, ANAWEZA KUIBUKA KAMTU KAMA JERI MURO KAKAKOHOA TU NA KIKOHOZI CHAKE KIKAWA SHERIA YA KITONGOJI.

THAT'S SHITHOLE. A TYPICAL MEANING OF SHITHOLE.
Inaonyesha msimamo wako unategemea msimamo wa watu wa marekani, maana umeshindwa kueleza msimamo wako na kuelezea sheria za marekani."Kuacha asili na imani yako na kuiga watu ambao hawajui asili wala imani yao(wasio jielewa)ni ujinga wa karne"
 
Back
Top Bottom