Wasanii wana ushawishi mkubwa wa kuogeza member kwenye chama buda, wolper unajua atakuwa kaondoka ccm na mashabiki wake wangiapi waliokuwa UKAWASeriously kabisa tumajadili Wolper!!?
Angalia tuu maamuzi ya maisha yake ya kawaida halafu uta jaji kama alicho fanya ni kigeni
Anyway nadhan hii uzi ili takiwa iwe ni ya celebrities
Ungejuaje kama ni ya kipumbavu kama nisingechangia?Yet unachangia, maajabu kwelikweli.
si alikuwa kamanda wa chadema au,nimechanganya?Akili za kitoto HIZO! Jackline Wolper ni nani katika siasa za nchi hii? Unakidhalilisha chama changu!! Wewe mtu wa maigizo au?
Ni kupoteza muda, kwa siasa zetu, kuanza kujiuliza sababu za watu kuhama vyama wakati ziko wazi! Watu wanatafuta fursa na nguvu za kimamlaka, basi. Wolper anatafuta pesa, Mpendazoe anajua CCM ya leo inaweza kumuondolea njaa kali aliyonayo baada ya kukosa fursa yoyote Chadema!Kwa maoni yangu kisiasa na hasa tunapoelekea 2020 naona swali lako halina tija kwa vyama vya upinzani. Halisaidii upinzani kujitathmini na kujiwekea mikakati mipya ili 2020 iwe na mafanikio zaidi. Afterall, mtu kuondoka chama ni haki yake ya kidemokrasia.
Lamsingi ni kuwa more objective na kujiuliza maswali magumu ya kwanini watu au mtu anaondoka kwenye chama...demotivation ni nini?? etc etc
si alikuwa kamanda wa chadema au,nimechanganya?
Unakashifu watu jana nimekupa ukweli unanichongea kwa Mod hovyo kbs wewe njaa zenu mnazifungia kibwebweAkiwa UKAWA mlimpongeza. Kuja CCM mnamponda. Hakika UKAWA ni kama mataahira vile
UKAWA walimwita kamandaAkiwa UKAWA mlimpongeza. Kuja CCM mnamponda. Hakika UKAWA ni kama mataahira vile