Kuoa mke mzuri Sana Ni shida kwa hizi kazi zetu za kusafiri atajikuta umesababisha ajali hebu fikiria kuwa Jacquelin Ni mkeo alafu upo safarin unafungua jf unakutana na post za midume inamtamani mkeo je utaweza kuendelea na safari na kama itaamua kurudi nyumbani gari utaendesha speed ngapi?