Jacqueline Silemu wa ITV...

Jacqueline Silemu wa ITV...

Kwa lipi sasa alivyo jichubua au? Nmeamin kumbe wengi hatu angalii taarifa bali tuna angalia urembo/uzuri wa watangazaji, ndio maana mambo mengi yana tupita...
 
Vijana hili ndilo jukwaa la siasa ?

Dah! Mambo yote ni pamoja daima ndiyo habari ya mujini na vijijini.
 
Ngoja nami nnianze kuangalia IPP kabla ya comment zangu
 
tupieni picha ili na sisi tuliopo huku Kavifuti tusioipata ITV tumfahamu.
 
Mie ningekupa code yake lakini sikupi kwani katika list ya watu ninaoplan kuwapitia 2014 ni huyu..
maisha yenyewe mafupi

NAKULA UJANA.......

Mke wa mtu sumu aisee. Mwenzio nimemaind ila nimejizuia kufika huko. Bado naupenda ugali!
 
Msioone vyaelea vimeundwa, hadi hapo alipofikia ni watu wamemtengeneza. Fanya kazi Jack usibweteke na misifa hiyo ya wenye pepo za ngono. Ingawa hata mm unaniumiza sana ukiwa umekunja ndita zako.

kumbe na ww una pepo la ngono au jini mahaba kabisa?
 
Msioone vyaelea vimeundwa, hadi hapo alipofikia ni watu wamemtengeneza. Fanya kazi Jack usibweteke na misifa hiyo ya wenye pepo za ngono. Ingawa hata mm unaniumiza sana ukiwa umekunja ndita zako.

Wewe watu wanasimamia show kama kawaida, unafkiri kuna mwanamke wa peke yako?!!! Ngoja niuze maboga yangu hapa nianze kumpigia misele, nikitenga 5M kitaeleweka tu!
 
Jamani naomba nitoe langu la moyoni kuhusu mdada huyu anayeripotia luninga ya ITV. Ukweli ananivutia sana anavyoripoti matukio kiasi kwamba natamani taarifa yake iwe ndefu zaidi lakini mara nyingi zinakuwa fupi mno. Niuo
mbe utawala wa ITV umhamishie kwenye kusoma taarifa kamili ya habari ili tufaidi umahili wa utangazaji wake. Ni ripota mwenye mvuto na anayeimudu vema kazi yake! Hongera sana da' Jack!
napita.......
 
Mie ningekupa code yake lakini sikupi kwani katika list ya watu ninaoplan kuwapitia 2014 ni huyu..
maisha yenyewe mafupi
Eh, s

NAKULA UJANA.......
Umetisha mkuu.
 
idd amin alikuwa anakauli mbiu yake akiona msichana mzuri utamsikia anasema "mine mine, its mine''
 
Kuna siku alinipigia simu kunitega anishikishe rushwa hahah nikaruka mita 1000.

Et naitwa Jack, mwanzo sikuelewa Jak yupi baada ya kueleza issue yenyewe. Nikamruka vibaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom