Jacqueline Silemu wa ITV...

Jacqueline Silemu wa ITV...

Jamani naomba nitoe langu la moyoni kuhusu mdada huyu anayeripotia luninga ya ITV. Ukweli ananivutia sana anavyoripoti matukio kiasi kwamba natamani taarifa yake iwe ndefu zaidi lakini mara nyingi zinakuwa fupi mno. Niuombe utawala wa ITV umhamishie kwenye kusoma taarifa kamili ya habari ili tufaidi umahili wa utangazaji wake. Ni ripota mwenye mvuto na anayeimudu vema kazi yake! Hongera sana da' Jack!
Hilo nalo ni neno.
 
Haka katoto katam mno mi mwenyewe na kuokoka kwangu ila bado nakatamani Vibaya sana nakaona kabisa kakiniangusha dhambini,namshangaa mumewe kukubali kukauzisha sura kwenye TV sijui anajaribu watu au vp?Nasikia ITV kuna ngwengwe ila kwa jinsi haka katoto kalivyotengenezwa na Muumba napata wakati Mgumu sana kumshinda Shetani asee!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
4.jpg
 
Hata mimi huwa nabarikiwa sana nikimuangalia kwa kweli anafanya vizuri sana na atafika mbali akiendelea kujituma na kuheshimu kazi yake
 
Jamani naomba nitoe langu la moyoni kuhusu mdada huyu anayeripotia luninga ya ITV. Ukweli ananivutia sana anavyoripoti matukio kiasi kwamba natamani taarifa yake iwe ndefu zaidi lakini mara nyingi zinakuwa fupi mno. Niuombe utawala wa ITV umhamishie kwenye kusoma taarifa kamili ya habari ili tufaidi umahili wa utangazaji wake. Ni ripota mwenye mvuto na anayeimudu vema kazi yake! Hongera sana da' Jack!
Mu7;
Nimekupenda. Wengine wakiona mtu anafanya vizuri wanachukia na kumuonea wivu, wewe mwezangu unafurahi na kumpa promo?
 
Last edited by a moderator:
Msioone vyaelea vimeundwa, hadi hapo alipofikia ni watu wamemtengeneza. Fanya kazi Jack usibweteke na misifa hiyo ya wenye pepo za ngono. Ingawa hata mm unaniumiza sana ukiwa umekunja ndita zako.
 
Jamani naomba nitoe langu la moyoni kuhusu mdada huyu anayeripotia luninga ya ITV. Ukweli ananivutia sana anavyoripoti matukio kiasi kwamba natamani taarifa yake iwe ndefu zaidi lakini mara nyingi zinakuwa fupi mno. Niuombe utawala wa ITV umhamishie kwenye kusoma taarifa kamili ya habari ili tufaidi umahili wa utangazaji wake. Ni ripota mwenye mvuto na anayeimudu vema kazi yake! Hongera sana da' Jack!

mkuu kama hiyo picha ya kwenye avata ndio we mwenyewe, basi umenona sana kiasi kwamba nakumezea mate
 
Jamani eee, kaene mbali na Jackline Nselem, hamjui shida niliyopata kumfikisha hapo. Isitoshe mahari nshatoa. Nitam-Mushi mtu. ohoooo!

Msije mkasema sikuwaonya, mwenye kisu kikali ndiye atakula nyama!!!!!!
Niachieni huyo ni wangu reeeeee!!!!!!
 
Kumbe huyu dada anabamba wengi sana,mimi nisipomuona taarifa ya habari huwa inakosa thamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom