Jacqueline Mengi anamiliki mkoba wenye thamani ya zaidi ya milioni 60

Yani katika ulimwengu wa fashion unaweza kustaajabu kwa mambo mengi sana ikiwemo bei za baadhi ya vitu ambavyo ukivitazama kwa jicho la mbali kamwe hauwezi kudhani kuwa vinauzwa bei mbaya sana

Sasa kuna mkoba wa kike unaitwa birkin ambao unatengenezwa na kampuni ya hermes ya nchini ufaransa ambao unatajwa kuwa ni miongoni ya mikoba ya kike yenye gharama zaidi duniani

Mkoba huo sasa unamilikiwa na mjasiriamali na mfanyabiashara Jacqueline N Mengi na kwa mujibu wa mtandao wa eboy mikoba hiyo bei ni dola$ 26500 ambayo ni sawa na tsh milion 68

Sifa kubwa ya mikoba hiyo ni kwamba inatengenezwa kwa ngozi ya mamba na ina ubora usio na mashaka na pia hata ukubwa wa brand ya hermes ambayo inatajwa kuwa moja ya branda kubwa duniani za mavazi View attachment 843758View attachment 843759View attachment 843760

Sent using Jamii Forums mobile app
Anatembea na Coaster kwapani daah,laifu izi noti fea kwa kweli
 
kiwanda kinachotengeneza hiyo mikoba.. kuna wateja iliwawaza kwamba watakuwepo tu.. mmojawapo ndiye huyo k lyn
 
Back
Top Bottom