Jack Zoka astaafu

Jack Zoka astaafu

Status
Not open for further replies.
Hayo yalikuwa kipind cha vita barid kila ki2 ilikuwa siri leo hadi zanazavita vya nch iko wazi.sa ndyo TISS wasijulikane
 
Hii taarifa sio ya siri, jamaa alishaanza kuaga kitambo, ila bora kaondoka alikuwa kauzibe tu.
 
CCM itatawala daima. hakuna mwingine zaidi ya ccm


Itabidi pia na wewe upitie historia ya dunia... kama kweli kuna dola ilidumi milele basi utueleze.

Vinginevyo na wewe utakuwa kama wale wanaoota siku CCM itapopigwa chini...
 
Itabidi pia na wewe upitie historia ya dunia... kama kweli kuna dola ilidumi milele basi utueleze.

Vinginevyo na wewe utakuwa kama wale wanaoota siku CCM itapopigwa chini...

Dark City Unapoteza bure Muda Wako Kushindana na Kujibizana Na Huyo Mburula na Wamo Wengi tu Humu.....!!!!!!
 
twamtakia mapumziko mema ya kustaafu,karibu sana mtaani ambako hakuna kusaini posho za vikao,ni full mishemishe ndo mkono uende kinywani
Unajua package yake ya kustaafu huyu? Unaota ndoto mkuu, huyu hukutani naye kwenye mishemishe zako, yeye ni kuku kwa mrija mdundo mmoja.
 
Dark City Unapoteza bure Muda Wako Kushindana na Kujibizana Na Huyo Mburula na Wamo Wengi tu Humu.....!!!!!!

Ahsante sana mkuu GENTAMYCINE,

Kuna misukule hapa Tanzania ambayo inakera sana. Bila hata kuangalia trends za dunia (hata kwa miaka 100 tu), watu wanakuja na kauli za ajabu ajabu...

Naamini kuna siku wataomba msamaha kwa madhambi yao!
 
Last edited by a moderator:
wewe kama ni mtumishi wa Umma, jukumu la kustawisha maisha ya wananchi wa kijijini kwenu ni lako? aisee mbona CHADEMA viroba vinawapelekesha sana?

Wewe kila jambo ni chadema, itabidi uwombe angalau kazi ya kufagia pale ofisini kwao ili kila siku uwe nao.kwa taarifa yako jf siyo kuizungumzia chadema na ccm tu!!!, kuna mabo mengi ya kuelimishana... (ELIMIKA)
 
Hii taarifa sio ya siri, jamaa alishaanza kuaga kitambo, ila bora kaondoka alikuwa kauzibe tu.
Mkuu, unaweza kutuambia aliaga wapi hicho kitambo na alikuwa kauzibe kwa nani?
 
mkuu huyo mleta mada atakuwa mtumishi wa TISS huko huko, nimeanza kuamini maneno ya SLAA kwamba ana maafisa usalama wana mpa taarifa. Hivi watu huwa wanalalamika kuwa TISS inatumika kuwatesa watu, si ingefaa hata huyu msaliti wao anayemwandika Bossi wake kuwa amestaafu naye achinjwe tu.

Kuchinja mtu sio kitu rahisi mkuu...lazima upate mafunzo kama wanayopata watu waliomo ndani ya kitengo. Strange, kuna jamaa wanapumua kuondoka kwa boss nini?
 
Hongera ndugu ZOKA pumzika kwa Amani mchango wako kwa taifa na kwetu binafsi ni mkubwa sana...

Mungu Ambariki sana
 
Kazi ya ushushushu huwa hawastaafu bali wanaondoka ofisini lakini wanaendelea na kazi!!!



Ndo waalimu wenu vilaza walivyowafundisha?

ZOKA hakuwa shushushu alikua naibu mkurugenzi anaeshughulikia siasa pale TISS ushushushu ni level za chini na hata nao hustaafu na kuendelea na maisha yao...
 
sio hivyo tu mkuu,bali atakufa kwa aibu na fedheha sana mbele za Mungu! mikono yake imejaa damu za watanzania na hazitamwacha salama!!!



Damu ya Wangwe inawalilia......

Damu za waliokufa kwenye mlipuko wa olasiti zinawalilia.....

Mtalipa damu hizo CDM
 
Sidhani kama ni kipimo tosha kuwa Usalama wa Taifa hawafanyi kazi. Ninachojua mimi ni kwamba kazi yao ni kuishauri serikali na siyo kuchukua hatua. Vile vile siamini kama kuwakamata wauza madawa ya kulevya, kukamata najangili ndiyo majukumu pekee ya Idara ya Usalama wa taifa.

Asante kwa kuwatetea, kwani TISS ipo tofauti na NSA?
 
Ndo waalimu wenu vilaza walivyowafundisha?

ZOKA hakuwa shushushu alikua naibu mkurugenzi anaeshughulikia siasa pale TISS ushushushu ni level za chini na hata nao hustaafu na kuendelea na maisha yao...

Taabu wengi hawaelewi wanafikiri kila aliyeko TISS ni shushushu TISS kuna mafundi magari,wafagiaji,wahasibu, madaktari n.k ni kama jeshini tu si wote wanaofanya kazi jeshini ni wanajeshi! Tatizo watu wakikutana vijiwe vya pombe hata mwendesha gari la kunyonya vyoo TISS ataitwa shushushu! Akina dada mnaovizia wanaume kwenye pombe kaeni chonjo msidanganywe mwaweza jikuta mnatua kwa mtapisha vyoo vya TISS akijiita shushushu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom