Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,410
Kwani Jack Zoka alikuwa ni Jaji au Hakimu?ngoja nitume maombi kujaza hilo pengo faster,nirudishe imani ya watanzania kwa serekali yao..
kesi ya kwanza ntakayoanza nayo ni kuhakikisha wezi wa kuku wote wanarudi uraiani,ili nipate vyumba vya kutosha magerezani kwa ajili ya mipapa ya madawa ya kulevya,majangiri,wachumia tumbo wote wenye utajiri ulopindukia usio na detail za kujitosheleza