Na kweli.Siku hizi tunawajua kwa majina, taaluma na sura zao. wewe lzm uko humohumu, kwanini hufwati maadili ya kazi yako inayokuweka mjini?
Na kweli.Siku hizi tunawajua kwa majina, taaluma na sura zao. wewe lzm uko humohumu, kwanini hufwati maadili ya kazi yako inayokuweka mjini?
Kwa hiyo?Ni kweli amestaafu, na soon atakuwa Balozi wa Tanzania nchini Venezuela
mengi yatasemwa, lakini jambo la msingi ni kumuombea maisha mema baada ya kulitumikia taifa.Nasikia huko kwao wanamasifu sana kwan ameboresha masirahi ya wafanyakazi wengi wao wanatembelea magari
Sana tu mkuu. Ni jambo jema mtu anapostahafu bila ya matatizo.Kustafu ni jambo la kawaida kwa mtumishi wa umma katumikia kwa sifa zote heri kwake.
Hakika Mkuu. Ni wachache sana wanafanya kazi hadi kufikia umri wa kustahafu. Tumpongeze pia kwa kujitunza na tumpongeze pia na mkewe kwani hawakuwa vichechemengi yatasemwa, lakini jambo la msingi ni kumuombea maisha mema baada ya kulitumia taifa.
Mkuu wabaya wake ndiyo wakati wao kuibuka sasa na kueneza unafikiti wao humu JF.Kustafu ni jambo la kawaida kwa mtumishi wa umma katumikia kwa sifa zote heri kwake.
Amefanyia nini watanzania cha maana, that is his legacy to this country and its citizens!!! Madawa ya kulevya, usalama wa tembo zetu, usalama wa madini yetu, usalama wa uhai wa watanzania wanaokufa vifo vya kutatanisha!!! Je alifanya kazi yake ipasavyo?
Hakika Mkuu. Ni wachache sana wanafanya kazi hadi kufikia umri wa kustahafu. Tumpongeze pia kwa kujitunza na tumpongeze pia na mkewe kwani hawakuwa vicheche
karibu mtaani, weldone, kama hujaiba vya kutosha subiri kuabika mtaani
Apumzike kwa shida!
Kama wangekuwa vicheche kwa mtu mkubwa kama huyo lazima tungejua tu. Si unaona SLAA, MBOWE walivyo vicheche kwani imechkua muda kuwajua? Mapenzi ni kihozi kuyaficha hauwezi.Unajuaje??
Kama wangekuwa vicheche kwa mtu mkubwa kama huyo lazima tungejua tu. Si unaona SLAA, MBOWE walivyo vicheche kwani imechkua muda kuwajua? Mapenzi ni kihozi kuyaficha hauwezi.
Naibu mkurugenzi wa idara ya usalama wa taifa TISS mheshimiwa Jack Zoka amestahafu rasmi katika nafasi hiyo .
Kwanini umwite mheshimiwa? Huyo ni ndugu, ukishasema mheshimiwa tayari unajenga tabaka
Huyu Kalanjadd inaonekana anatokea ukoo ambao kuna watu wanapenda sana kuitwa waheshimiwa. Atakuwa natokea ukoo wa Mtei.