Weeee vipi umerogwa nini,sasa sitini unaona sawa na wiki.babu seya hata kumi hajafika kabaki kichwa tuh
Nauliza turn hiviNdio yule alikuwa anaendesha renge new model nyeupe
Macau alipokamatwa Jack Cliff hawana adhabu ya kifo ila kwa kuwa imethibitika atafungwa jela kwa muda wa miaka 60 AU faini (not mentioned) hivyo tutegemee Lady Boss kurudi mtaani..
Na yalaaniwe matumbo ya mamazao na vizazi vyao vyote.