J.k Nyerere alikuwa kichwa..

J.k Nyerere alikuwa kichwa..

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
1471894499589.jpg
 
Nyerere alikuwa philosopher! Nakubaliana na wewe jamaa aliona mbali na alikuwa kichwa! Nadhan Mwinyi alikuwa kifua, Mkapa alikuwa tumbo na Kikwete alikuwa miguu. Sasa sijui Magu atakuwa nini

Umetisha Mkuu.

Ngoja wazee wa Lumumba wapite humu wauone uandishi wako,Nawaita Right now.
 
Mtu anatawala bila mpinzani, anafuta vyama vingi, anafunga jela wapinga fikra zake, anakuwa Rais mpaka anachoka, akimaliza anakuwa an enduring symbol of democracy.

Kichwa cha Muafrika ni kimeo cha kichina.
 
Nyerere alikuwa anajizungumza Yeye Mwenyewe jinsi anavyotawala.
Watu wazima wa Rika langu wanafahamu kwa nini aliitwa Bwana Haambiliki.
Vijiji vya Ujamaa ulikuwa ni mkurupuko kuliko wa kuhamia Dodoma lakini akina Christopher Kassanga Tumbo walipopinga walisingiziwa Uhaini wakaishia kukimbia Nchi.

Ahadi ya kuhamia Dodoma 1966 kutokana na Mavitu ya Mamsap wa Kigogo leo hii analaumiwa Brother Magu wakati yeye ni mtekelezaji tu!
 
Huyu jamaa alikuwa kichwa sana.

Aliona mpaka mwaka 2016??[/QUOTE]
...wengine pamoja na msaada wa teknolojia leo Agosti 23 hatuwezi kuona hata ya tarehe 1 Septemba!
 
Nyerere alikuwa vizuri kichwani ila kwenye utekelezaji ilikuwa ni tatizo ndomana aliamua kuachia ngazi..ila mwingine kakosa vyote viwili
 
Mtu anatawala bila mpinzani, anafuta vyama vingi, anafunga jela wapinga fikra zake, anakuwa Rais mpaka anachoka, akimaliza anakuwa an enduring symbol of democracy.

Kichwa cha Muafrika ni kimeo cha kichina.
Soma uelewe zama zake vizuri
 

Leteni na quotation zake kuhusu usaliti, uhaini, kutotii mamlaka, ukosefu wa nidhamu na kadhalika...Mwalimu Nyerere alikuwa hataki upuuzi wa maandamano...ukifanya fyoko fyoko ulikuwa unapotea kwa kupelekwa Tunduru kama wewe ni wa Musoma au Kaliua kama wewe ni wa Mbinga....waulize wale 'wahehe' wa mjini Iringa waliochangisha fedha kumsaidia kwa kumwekea dhamana Mwamwindi aliyempiga risasi RC, Dr. Kleruu
 
Nyerere alikuwa philosopher! Nakubaliana na wewe jamaa aliona mbali na alikuwa kichwa! Nadhan Mwinyi alikuwa kifua, Mkapa alikuwa tumbo na Kikwete alikuwa miguu. Sasa sijui Magu atakuwa nini


Duh!, Mkuu hii resemblance yao imeogopesha, ni too perfect. 🙂
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Nyerere alikuwa anajizungumza Yeye Mwenyewe jinsi anavyotawala.
Watu wazima wa Rika langu wanafahamu kwa nini aliitwa Bwana Haambiliki.
Vijiji vya Ujamaa ulikuwa ni mkurupuko kuliko wa kuhamia Dodoma lakini akina Christopher Kassanga Tumbo walipopinga walisingiziwa Uhaini wakaishia kukimbia Nchi.

Ahadi ya kuhamia Dodoma 1966 kutokana na Mavitu ya Mamsap wa Kigogo leo hii analaumiwa Brother Magu wakati yeye ni mtekelezaji tu!
Anayofanya Magu leo anatekeleza Sera za Nyerere.?
 
Soma uelewe zama zake vizuri


Nisome wapi, nimsome nani ambae unavyoona wewe ndio authority wa zama za Nyerere wa mimi kusoma ambacho hatukijui kuhusu zama za Nyerere? Waambie watoto wa Feza Boys and Girls wa jana hawa kuhusu kusoma zama za Nyerere.

Ballot paper ya uchaguzi wa Nyerere ilikuwa na picha ya kichwa cha Nyerere dhidi ya picha ya jembe na nyundo. Chagua Nyerere au nyundo for president!

Huyo leo hii hawezi kuwa alama ya kukemea udikteta. Waafrika yani tuna upeo mdogo kupindukia. Nyerere does not have a smidgen of moral authority to pontificate on democracy!
 
Nyerere alikuwa philosopher! Nakubaliana na wewe jamaa aliona mbali na alikuwa kichwa! Nadhan Mwinyi alikuwa kifua, Mkapa alikuwa tumbo na Kikwete alikuwa miguu. Sasa sijui Magu atakuwa nini
Huyu ni kichwa anamkaribia mwalimu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom