The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
T.a.ko nadhani
interesting....
T.a.ko nadhani
Google acha uvivuLeteni na quotation zake kuhusu usaliti, uhaini, kutotii mamlaka, ukosefu wa nidhamu na kadhalika...Mwalimu Nyerere alikuwa hataki upuuzi wa maandamano...ukifanya fyoko fyoko ulikuwa unapotea kwa kupelekwa Tunduru kama wewe ni wa Musoma au Kaliua kama wewe ni wa Mbinga....waulize wale 'wahehe' wa mjini Iringa waliochangisha fedha kumsaidia kwa kumwekea dhamana Mwamwindi aliyempiga risasi RC, Dr. Kleruu
Nimecheka aseeee hahahahhaahaa kwamba nigga ni t. AKOT.a.ko nadhani
HahaaMtu anatawala bila mpinzani, anafuta vyama vingi, anafunga jela wapinga fikra zake, anakuwa Rais mpaka anachoka, akimaliza anakuwa an enduring symbol of democracy.
Kichwa cha Muafrika ni kimeo cha kichina.
Mzee yuko overrated sana ...wakati yeye mwenyew alikuwa ni dikteta wakwanza nchiniNyerere alikuwa anajizungumza Yeye Mwenyewe jinsi anavyotawala.
Watu wazima wa Rika langu wanafahamu kwa nini aliitwa Bwana Haambiliki.
Vijiji vya Ujamaa ulikuwa ni mkurupuko kuliko wa kuhamia Dodoma lakini akina Christopher Kassanga Tumbo walipopinga walisingiziwa Uhaini wakaishia kukimbia Nchi.
Ahadi ya kuhamia Dodoma 1966 kutokana na Mavitu ya Mamsap wa Kigogo leo hii analaumiwa Brother Magu wakati yeye ni mtekelezaji tu!
Umesema YoteNisome wapi, nimsome nani ambae unavyoona wewe ndio authority wa zama za Nyerere wa mimi kusoma ambacho hatukijui kuhusu zama za Nyerere? Waambie watoto wa Feza Boys and Girls wa jana hawa kuhusu kusoma zama za Nyerere.
Ballot paper ya uchaguzi wa Nyerere ilikuwa na picha ya kichwa cha Nyerere dhidi ya picha ya jembe na nyundo. Chagua Nyerere au nyundo for president!
Huyo leo hii hawezi kuwa alama ya kukemea udikteta. Waafrika yani tuna upeo mdogo kupindukia. Nyerere does not have a smidgen of moral authority to pontificate on democracy!