uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,047
- 8,564
Waarabu ni watu washenzi sana katika dunia hii
Wafuasi wa mudy hutulizwa kwa misikiti tu.Sio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
Na kuvaa makobaziWaislamu hawajiwezi hawawezi panga vitu.. Wanachoweza ni lawama
Hutopata jibu hapoHayo makanisa Mbeya yamejengwa kwenye maeneo ya umma au ni maeneo binafsi yanayomilikiwa na makanisa?
Mikataba ya uhuru unaijuwa?vitu vingine huwezi kuvijua vingi havitokei kwa bahati mbayaIweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Hao watu wa wamakanisa hawajaomba kwa serikali,wageomba pia wangepewa eneo.Hayo makanisa yamejengwa kwenye maeneo ya serikali?
Nchi hii kuna ardhi mali ya mtu binafsi? Wapi huko?Povu jingi akili kisoda. Umeambiwa kujenga kwenye maeneo ya umma au serikali. Unaelewa maana yake? Hajazungumzia misikiti mingi au michache. Wewe vipi?
Nimemuuliza hana akili?umejibu vizuri lakini wakati mwingine jaribu kuepuka kumjibu mtu kwa kumdhalilisha na hasa linapokuja swala la imani maneno kama (huna akili,mpumbavu,mjinga) yanaweza kusababisha ujumbe wako kwake usifike mweleze kwa unyenyekevu kwa kuwa anahitaji kujifunza pia.
Hao watu wa wamakanisa hawajaomba kwa serikali,wageomba pia wangepewa eneo.Hayo makanisa yamejengwa kwenye maeneo ya serikali?
It about jealous and nothing else
Hao mawaziri ni mizigo toka awamu ya 4
Mimi mkristo kuongezeka kwa hiyo misikiti naona ni jema ni uelewa tu wa mtoa mada kutokujua umuhimu na mchango wa hizo nyumba za ibadaNyie watu mna roho mbaya sana na mnatamani muitangaze nchi ni ya dini yenu na nyingine zote marufuku sema mnashindwa,huko serikalini si mmejazana sasa mnashindwa nini kujenga za kwenu pia, si mnaona wenzenu wanafaidi!
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Waislamu ukijenga msikiti mmoja,madhehebu yote yataswali humo,kwasababu ibada zao ni moja.Wafuasi wa mudy hutulizwa kwa misikiti tu.
Duh!! Mbona sio jambo baya,..Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Kwa dar noBasi huna akili? Sasa unashangaa DAR kuwa na misikiti MINGI? Kwa Taarifa yako, DAR ni moja ya mikoa ambayo majority ni WAISLAM na utamaduni wao ni huo wa KIISLAM kwa sehemu kubwa.
Inashangaza MBEYA kila hatua 3 kuna KANISA na hakuna malalamiko, wakati mwingine mjue kuna kanda ziko DOMINATED na WAISLAM KWA ZAIDI YA 90% hivyo ujenzi wa misikiti ni kawaida.
DAR, TANGA, LINDI, TABORA, MTWARA, MOROGORO, PWANI hayo maeneo MISIKITI ni MINGI kuliko MAKANISA
Ushamba unakusumbua huo msikiti wa fali leo ndio umeona na kuleta huku ushamba wako waulize wenyeji huo msikiti uko hapo tangu mwaka gani?kwatalifa yako kuanzia fali mpaka eneo lote la ikulu Magogoni lilikuwa eneo la msikiti kalaga bao na ushamba wakoIweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Mshenzi tu huna lolote nenda kawe kanisa lilimege zaidi akali 10 pekasiSerikali ikiongozwa na muislamu nchi huwa ya kiislamu tangu enzi za mzee ruksa
Hivio vio unafaida navio unawesa pata msaada gani huko?Waislamu wako busy kujenga misikiti maeneo ya umma na Wakristo wako busy na ujenzi wa mashule na vyuo vikuu. Ni maswala tu ya kipaumbele
Toa mifano hai Sheikh! Maana ukiona makanisa yapo jirani na taasisi za serikali mfano shule, vyuo, nk basi utambue fika ni hiyo serikali ndiyo iliyofuata hayo makanisa.Umefuatilia makanisa baadhi yalipojengwa?
Yaani serikali ya Tanzania siku hizi ina dini, basi kama ni hivyo tutaona rangi zoteIweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.