Wakuu,
Huyu bwana ndiye aliyechukua makaratasi ya matokeo na kuyatupilia mbali kisha akatangaza ya kwake kua Gbagbo kashinda. Yaani afadhali ile ya CCM maana hii ni wazi bin kweupe ...na mtafanzani?
waafrika hata wakiwa na katiba nzuri kiasi gani, we are very arrogant na we lack ustaarabu! Ustaarabu na kuheshimu watu wengine ni shida ya viongozi wa kiafrika! Na kwa hali ilivyo na unafiki wa wafadhili wa magharibi, there is no means we can change in the near future unless hao donors wa-change behavior yao, na wananchi wazalendo nao wa-rise up and take the right direction they would want to be led.
vinginevyo waachie political sharks of this weak continent waendelee ku-vandalize!
Gad ONEYA,
do you mean the majority of African countries are led by whites kwa interests zao na hata katika internal affairs?
Na does this defined to be the source of all internal conflicts zitokeazo katika bara letu hili la kiafrica?