Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,172
Last edited by a moderator:
maskini najiskia vibaya jinsi huyo police anavyofadhaika na kitendo cha huyo Mshenzi... hapo anajisemea dhama gani hii inanikuta katika kazi? nashindwa kumshughulikia? facial expression inaonyesha hata huyo police hayuko pamoja na Gbagbo!Wakuu,
Huyu bwana ndiye aliyechukua makaratasi ya matokeo na kuyatupilia mbali kisha akatangaza ya kwake kua Gbagbo kashinda. Yaani afadhali ile ya CCM maana hii ni wazi bin kweupe ...na mtafanzani?