Ivory Coast Elections: Who is the Winner?

Thabo Mbeki to mediate in Ivory Coast president crisis

_50299936_010781945-1.jpg

The crisis has already led to unrest on the streets of the capital


The African Union says it is sending former South African President Thabo Mbeki to Ivory Coast to help mediate the current political crisis.

Laurent Gbagbo and opposition candidate Alassane Ouattara have both sworn themselves in after claiming victory in a presidential run-off.

Mr Ouattara was initially declared the winner but the result was overturned in the incumbent's favour.

The AU has warned the crisis could have "incalculable consequences".

In a statement, the organisation rejected "any attempt to create a fait accompli to undermine the electoral process and the will of the people".

It called on all parties to "show the necessary restraint and to refrain from taking actions which will exacerbate an already fragile situation".

Several countries and international organisations - including the US, UN, France and the IMF - have backed Mr Ouattara as the true winner of last Sunday's run-off.

Conflict fear

The AU has not said when Mr Mbeki is likely to travel to Ivory Coast, but the BBC's John James in the capital Abidjan says his arrival is being widely discussed.

When he was president of South Africa, Mr Mbeki helped to mediate a peace deal in Ivory Coast.

But he was seen by the opposition as being uncomfortably close to Mr Gbagbo.

It is difficult to see what scope there is for Mr Mbeki to mediate, says our correspondent, as both men are adamant that they legitimately won the poll.

The fear is that if he fails to find a way out, rebel groups in the north who support Mr Ouattara will take up arms in protest.

Mr Ouattara was declared the winner by the Election Commission on Thursday, but on Friday, its ruling was overturned by the Constitutional Council, which is led by an ally of the incumbent, Mr Gbagbo.

Mr Gbagbo, who has the backing of the head of the country's armed forces, was sworn in for a third term in office at the presidential palace on Friday afternoon.

He repeated the accusations of fraud that had led the Council to discount large number of ballots in the north, where Mr Ouattara's supports is strongest.

"You think that you can cheat, stuff ballot boxes and intimidate voters and that the other side won't see what is going on," Mr Gbagbo said.

He also said he had noted "serious cases of interference" in recent days, referring to international disapproval of his return to power.

"We didn't ask anyone to come and run our country. Our sovereignty is something I am going to defend," he said.

'Brief episode'

But within hours, Mr Ouattara, a former rebel from the predominantly Muslim north of the country, was himself sworn in, at an Abidjan hotel guarded by UN peacekeepers.

He said the election had been "historic" and that he was proud of it, but that the last few days had been "difficult".

"But it's just a brief episode - I want to tell you that Ivory Coast is now in good hands," he said.

Mr Ouattara immediately re-appointed Guillaume Soro as his prime minister. Mr Soro had tendered his resignation in Mr Gbagbo's administration just hours earlier.

Mr Soro - who is the head of the New Forces rebels in the north - has warned that overturning the results threatens to derail attempts to stabilise and reunify the country after the 2002 war.

The political crisis has led to protests on the streets of the country's main city of Abidjan, with opposition supporters saying Mr Gbagbo's investiture amounts to a coup d'etat.

At least four people have been killed in election-related clashes in Abidjan this week.

Ivory Coast has closed its borders and stopped broadcasts of international news media into the country. An overnight curfew remains in place over the weekend.

BBC News - Thabo Mbeki to mediate in Ivory Coast president crisis
 
BBC News TV wanaripoti kuwa, nchini Ivory Coast, mlafi aliyekaa madarakani kwa miaka 10 (lakini bado hajatosheka. anataka aendelee miaka mingine mitano), Laurent Gbagbo ameapishwa na mafisadi wenzake kuwa Rais wa Ivory Coast.

Saa moja baadaye, mpinzani wake Alassane Ouattara, ambaye NEC ya Ivory Coast ilimtangaza kuwa mshindi naye akaapishwa katika 'tight security' ya wanajeshi wa UN.

Haya mambo hunifanya nijilaumu sana kuzaliwa Afrika.

Kwa nini Miafrika tuko hivi?

Kwanini huyu Bwana Gbagbo asiheshimu maoni ya wananchi wa Ivory Coast?

Tutarajie mauaji mengine ya watu wasio na hatia? Watakao ingia mtaani kupinga dhulma?
 
Hii kitu hata mm huwa inanichanganya sana kwani mtu akiachia madaraka itakuwaje kwa nn ung'ang'anie madaraka, mfano mzuri ni hata hapa kwetu Tanzania ni nchi moja me sioni sababu ya kuwa na marais wawili (Mkwere na Shein) na makamu wa rais wa tatu (Gharib bilal, Seif Sharif Hamad,Balozi Seif Iddi). Unnecessary cost.
 
Katiba inakuruhusu kuukana utaifa wako na kuwa raia wa taifa unaloona kinafaa-
 
Katiba inakuruhusu kuukana utaifa wako na kuwa raia wa taifa unaloona kinafaa-

Katiba ya Chenge.

Hicho kifungu ni maalumu kwa mafisadi kusaidia kufanikisha harakati zao za kufilisi nchi. Rejea ya Daudi Balali.
 
africa africa africa,no changes mambo ni yaleyale kila siku,mala kiongozi kang'owa vitasa,mala kiongozi kaowa wake 20,mala kiongoza kang'ang'ania madalaka,mala kiongozi kashinikiza nec imtangaze kuwa yeye ni raisi,
matatizo chungu tele sijuwi ni lini tutabadilika na kuwa welevu?
acha wauwane tumechoka ni mala ya pili sasa yanatokea ivory cost,hatuna msaada zaidi kwani wao viongozi wanajuwa nani kashinda,yalitokea kenya na sasa ivory cost
mungu tokomeza hiki kizazi kisicho kubali kushindwa kuanzania TANZANIA hadi IVORY COST


MAPINDUZIIIII DAIMAAAAA
 
Yaani hawa viongozi wanawezaje kufikiria kuleta vita tena kwenye nchi ambayo hata haijasahau maafa ya vita?

Wakajikumbushe kwa kusoma 'a long way home-Memoirs of a Boy Solder' kama wanaakili zisizoweka kuweka kumbukumbu
 
Wakuu,

Huyu bwana ndiye aliyechukua makaratasi ya matokeo na kuyatupilia mbali kisha akatangaza ya kwake kua Gbagbo kashinda. Yaani afadhali ile ya CCM maana hii ni wazi bin kweupe ...na mtafanzani?


201012100958842_20.jpg
 
Sometimes ni aibu kuwa mwafrica, hata wanyama wametuzidi kwa akili. Watu wengine wameezeeka hadi vision imekufa lakini bado wanang'ang'ania kufia ikulu.
 
Hii kitu hata mm huwa inanichanganya sana kwani mtu akiachia madaraka itakuwaje kwa nn ung'ang'anie madaraka, mfano mzuri ni hata hapa kwetu Tanzania ni nchi moja me sioni sababu ya kuwa na marais wawili (Mkwere na Shein) na makamu wa rais wa tatu (Gharib bilal, Seif Sharif Hamad,Balozi Seif Iddi). Unnecessary cost.

Mkuu acha kukwepesha maada. Hapa tupo ktk issue nyingine kabisa,tolea mifano hai kama ya Mubarak wa Egypt, Sudan,Congo braza,Gabon etc. Utaonekana una hekima saana.
SAMAHANI.
 
mn-ivory05_PH_0502656907.jpg




capt.34e29111fb0f46258b58adbab44bfe78-34e29111fb0f46258b58adbab44bfe78-0.jpg




capt.40196a05b92044eb849598b592de3580-40196a05b92044eb849598b592de3580-0.jpg


Opposition leader Alassane Ouattara speaks during his swearing-in ceremony at the Golf Hotel in Abidjan, Ivory Coast, Saturday, Dec. 4, 2010



capt.86cc866053ab411caf061c6b97d712d9-86cc866053ab411caf061c6b97d712d9-0.jpg


Ivory Coast incumbent President Laurent Gbagbo stands with his wife Simone during his swearing-in ceremony at the Presidential Palace in Abidjan, IvoryCoast, Saturday, Dec. 4, 2010
 
BBC News TV wanaripoti kuwa, nchini Ivory Coast, mlafi aliyekaa madarakani kwa miaka 10 (lakini bado hajatosheka. anataka aendelee miaka mingine mitano), Laurent Gbagbo ameapishwa na mafisadi wenzake kuwa Rais wa Ivory Coast.

Saa moja baadaye, mpinzani wake Alassane Ouattara, ambaye NEC ya Ivory Coast ilimtangaza kuwa mshindi naye akaapishwa katika 'tight security' ya wanajeshi wa UN.

Haya mambo hunifanya nijilaumu sana kuzaliwa Afrika.

Kwa nini Miafrika tuko hivi?

Kwanini huyu Bwana Gbagbo asiheshimu maoni ya wananchi wa Ivory Coast?

Tutarajie mauaji mengine ya watu wasio na hatia? Watakao ingia mtaani kupinga dhulma?

Hii kweli ni Africa, utadhani tunaangalia COMEDY. Mtu ukiambiwa haya unaweza hata usiamini kama yanatokea! Huyu Gbagbo kwa wale wafuatiliaji mtakumbuka wakati anaingia madarakani alitumia nguvu ya umma kumwodoa General Guei akidai haki kwa wananchi wote wa Ivory coast na matokeo ya uchaguzi yaheshimiwe. Lakini baada ya kukamata madaraka alikataa huyu mpinzani wake kuruhusiwa kugombea urais. Baada ya hapo wengi tulimjua ni kiongozi wa haina gani. Sitashangaa kama atairejesha nchi yake kwenye vita! Africa ni kama tumelaaniwa.
 
Duuh, si bora angefuata utaalamu wa kuchakachua Tz? angalia mtutu hapo nyuma kweli haki itapatikana?
 
Africa bwana uchakachuaji kuanzia pwani ya bahari ya Indi (indian ocean) Africa mashariki mpaka pwani ya Antlantic Africa Magharibi. Uchakachuaji uchakachuaji uchakachuaji tu! Huyu mdudu anaitwa vyama tawala anatafuna bara hili
 
maraisi wawili katika nchi moja, kazi kweli kweli. Haya ngoja tuone Mbeki atafanya nini.
 
Jamaa wangekuja Afrika Mashariki wakajifunza jinsi ya kuchakachua lol!! Lakini all jokes aside hii tabia ya vyama tawala kungang'ania madaraka ni kuwatukana wapiga kura matusi ya nguoni, alafu sasa wasivyo na adabu jamaa watasema wanaunda serikali ya mseto kuwatuliza wapinzani. SMH!!
 
Back
Top Bottom