Umeona walivyojaribu kuchakachua ikashindikana? Kumbe it can be done.Former Ivory Coast PM Alassane Ouattara beats Laurent Gbagbo in presidential runoff, CNN affiliate BFM-TV reports
Source: CNN
My take: African leaders huwa hawakubali kushindwa mpaka watiwe msukosuko
Former Ivory Coast PM Alassane Ouattara beats Laurent Gbagbo in presidential runoff, CNN affiliate BFM-TV reports
Source: CNN
My take: African leaders huwa hawakubali kushindwa mpaka watiwe msukosuko
Jeshi la Ivory Coast jana limetangaza kufunga mipaka yake yote with immediate effect. Hakuna ndege itakayoingia wala kutoka. Kumbuka kuwa since last week watu hawaruhusiwi kutembea baada ya saa moja jioni.
Source: RTI (Ivory Caost National TV)
Tume ya uchaguzi nchini Ivory Coast jioni hii imetangaza matokeo ya uchaguzi.
Laurent Bagbo amepata 51.41%
Allasane Ouatara amepata 48.55%
Tume ya uchaguzi nchini Ivory Coast jioni hii imetangaza matokeo ya uchaguzi.
Laurent Bagbo amepata 51.41%
Allasane Ouatara amepata 48.55%