Ivona Kamuntu (Startv): CHADEMA Wameshajitoa Katika Muungano...!

Huu sasa ni ukima, mbona ccm mnataka kuwa wasemaji wa CDM?? Huyo mdada naye mahojiano yake na huyo kipara ilikuwaje yaihusu na CDM BILA hata cdm kuwepo??
Au ndio kusaka umaarufu kwa jina la CDM?
 
Mtangazaji wa kituo cha runinga cha startv Bi.Ivona Kamuntu ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakipo katika Muungano kwa madai kuwa kimeshajitoa.

Mwandishi huyo ameyasema hayo katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha leo wakati akifanya mahojiano na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia January Makamba. Amedai kuwa vyama vya CCM na CUF ndivyo bado viko katika muungano!

MY TAKE:
Kauli kama hii inadhihirisha namna waandishi wetu wa habari walivyo weupe vichwani na mara nyingine wanapojivika ukada wa vyama vya siasa badala ya kujikita katika weledi. Na Ivona leo amejipambanua wazi jinsi anavyotindikiwa weledi katika tasnia ya habari na siasa za nchi hii.

Mdau wa startv na JF Yahya Mohamed naomba ukimpata Ivona Kamuntu umlete hapa aje kutueleza ni lini CHADEMA walijitoa katika Muungano.

Mwita Maranya mbona taarifa inachanganya. Ni muungano gani unaongelewa hapa, maana Kama ni wa vyama kupinga muswada wa marekebisho ya Katiba, CCM siyo mwanachama wa muungano huo, na kama ni ule wa Zanzibar, CHADEMA haijawahi kuwa sehemu ya muungano huo. Bahati mbaya umeeleza ukifikiria wore tulitazama kipindi hicho cha StarTv!
 
Mtangazaji wa kituo cha runinga cha startv Bi.Ivona Kamuntu ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakipo katika Muungano kwa madai kuwa kimeshajitoa.

Mwandishi huyo ameyasema hayo katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha leo wakati akifanya mahojiano na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia January Makamba. Amedai kuwa vyama vya CCM na CUF ndivyo bado viko katika muungano!

MY TAKE:
Kauli kama hii inadhihirisha namna waandishi wetu wa habari walivyo weupe vichwani na mara nyingine wanapojivika ukada wa vyama vya siasa badala ya kujikita katika weledi. Na Ivona leo amejipambanua wazi jinsi anavyotindikiwa weledi katika tasnia ya habari na siasa za nchi hii.

Mdau wa startv na JF Yahya Mohamed naomba ukimpata Ivona Kamuntu umlete hapa aje kutueleza ni lini CHADEMA walijitoa katika Muungano.

yahaya mohamed keshahamia Azam tv siku nyingi.
 
Mwanzo kalikuwa kanalipa ila siku hizi kamechoka hata hukatamani......umri wake wenyewe kalipofikia kuolewa ni majaliwa labda kaolewe kama mke wa tatu (reserve) au concubine wa mtu[/QUOTE

Dah.!!
yameshakua hayo tena.!!
 
kamuntu yupo makini na anaijua kazi kuliko mnavyofikiria. siku zote si ndo mlikuwa mnamsifu sana huyu dada? au kwa vile kagusa kwenye nyeti zenu? tulieni na mpeni moyo huyu dada. kiukweli anafanya vizuri sana

yaani kufumba fumba kope za macho ndio awe wa maana. Kweli kuna shida ya utashi wa kiuelewa tanzania.
 
Mkuu ninanamba yake haka kajitu sijui nitupee hapa watu wakatwangie au wale jamaa wa ban watanitenda?

Mkuu chikutentema nipm namba yake niongee naye ili alitolee ufafanuzi.

Nilishasema huyu jamaa ni tatizo na mara nyingi huwa anakurupuka sana,sijawahi kumuona tu akikurupuka kwenye kuchangia post ya Yanga,lakini huku kwingine ni tatizo.

WABHEJASANA leo nimekusamehe bure sitaki kuutia nuksi ushindi wa jana, vinginevyo ningekulambisha shubiri wewe mwanambiti.
 
Last edited by a moderator:
Mwenye namba ya simu ya Ivona aiweke hapa tumchane kwa uzuri zaidi.
 
Star TV wanakuaga na watangazaji vilaza sana/weupe, wajaribu kuiga hata Channel nyingine. Ni aibu station saivi ni kongwe lakin improvement sifuri.
 
kwani lini chadema walikuwa kwenye muungano? hapa sasa nakumbuka mantiki ya ule uzi uliowekwa humu JF kuwa walioungana ni Mbowe, Mbatia na Lipumba na si CUF, CHADEMA na NCCR. Mdau CHABRUMA alitueleza sababu nyingi lakini moja la muhimu ni kukosekana kwa hati ya makubaliano ya muungano

Wewe ulisha wahi kuiona hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Au unatokwa povu ili mradi Lumumba Project ujue una timiza wajibu? Au hujui kwamba kuna the so called "TABLE AGREEMENT"?

Kweli lazima uwe na AKILI YA MAITI ili kujenga hoja ya kuitetea CCM!!
 
binafsi nimekuwa nikifuatilia mijadala ya star tv ...lakini nilichopata kufahamu kutoka kwa ivona ni kuwa anavamia mada...anaendesha mijadala ambayo hana uelewa mkubwa juu yake,ni tofauti na waendesha mijadala wengine kama Bulendu,yahya nk....hii inaweza kuwa analazimishwa na boss wake kufanya mijadala hiyo au ni yeye mwenyewe anaamua kuvamia....mfano kuna mjadala aliwahi kuendesha juu ya ving'amzi ki ukweli aliboa sana hasa kwa watu wenye ujuzi(technical know-how) na mambo haya tuliboreka sana,zaidi ya yote alikuwa akibishana na guest mmoja engineer...hadi ikafikia mahari yule engineer akamwambia "dada unapotosha ukweli ni vizuri ukaacha kujadili mambo usiyo yajua vizuri hii ni taaluma nyingine" quote isiyo rasmi...vivo hivyo hata juu ya taaluma yake naona kama anakosea hasa pale anapomkatisha mtu kuzungumza eti kisa katoa mfano wa mtu amabye hayupo pale studio wakati ipo mifano ya watu wengine huruhusu itolewe na hata yeye kuitoa mwenyewe .....nikiona yeye ndo anaendesha mada naweka channel ya katuini...
 
Star TV wanakuaga na watangazaji vilaza sana/weupe, wajaribu kuiga hata Channel nyingine. Ni aibu station saivi ni kongwe lakin improvement sifuri.

Kiongozi!

Hayo ndio matatizo ya "CHEAP LABOR". Ili muradi tu watu wanaokotwa majalalani.
 
kamuntu yupo makini na anaijua kazi kuliko mnavyofikiria. siku zote si ndo mlikuwa mnamsifu sana huyu dada? au kwa vile kagusa kwenye nyeti zenu? tulieni na mpeni moyo huyu dada. kiukweli anafanya vizuri sana
Ni kweli anafanya vizuri,lakini kama ni kweli amesema hayo basi amepotoka
 
binafsi nimekuwa nikifuatilia mijadala ya star tv ...lakini nilichopata kufahamu kutoka kwa ivona ni kuwa anavamia mada...anaendesha mijadala ambayo hana uelewa mkubwa juu yake,ni tofauti na waendesha mijadala wengine kama Bulendu,yahya nk....hii inaweza kuwa analazimishwa na boss wake kufanya mijadala hiyo au ni yeye mwenyewe anaamua kuvamia....mfano kuna mjadala aliwahi kuendesha juu ya ving'amzi ki ukweli aliboa sana hasa kwa watu wenye ujuzi(technical know-how) na mambo haya tuliboreka sana,zaidi ya yote alikuwa akibishana na guest mmoja engineer...hadi ikafikia mahari yule engineer akamwambia "dada unapotosha ukweli ni vizuri ukaacha kujadili mambo usiyo yajua vizuri hii ni taaluma nyingine" quote isiyo rasmi...vivo hivyo hata juu ya taaluma yake naona kama anakosea hasa pale anapomkatisha mtu kuzungumza eti kisa katoa mfano wa mtu amabye hayupo pale studio wakati ipo mifano ya watu wengine huruhusu itolewe na hata yeye kuitoa mwenyewe .....nikiona yeye ndo anaendesha mada naweka channel ya katuini...

Pamoja na yote, Yvonna anajitahidi sana. Huwezi kumfananisha na Kiazi Grace Kingalame au Fatma Nyangassa.
 
Back
Top Bottom