Pamoja na yote, Yvonna anajitahidi sana. Huwezi kumfananisha na Kiazi Grace Kingalame au Fatma Nyangassa.
katika nini?tunazungumzia uendeshaji wa mijadala na si utangazaji....ni kuhusu uelewa wa mambo....
Pamoja na yote, Yvonna anajitahidi sana. Huwezi kumfananisha na Kiazi Grace Kingalame au Fatma Nyangassa.
binafsi nimekuwa nikifuatilia mijadala ya star tv ...lakini nilichopata kufahamu kutoka kwa ivona ni kuwa anavamia mada...anaendesha mijadala ambayo hana uelewa mkubwa juu yake,ni tofauti na waendesha mijadala wengine kama Bulendu,yahya nk....hii inaweza kuwa analazimishwa na boss wake kufanya mijadala hiyo au ni yeye mwenyewe anaamua kuvamia....mfano kuna mjadala aliwahi kuendesha juu ya ving'amzi ki ukweli aliboa sana hasa kwa watu wenye ujuzi(technical know-how) na mambo haya tuliboreka sana,zaidi ya yote alikuwa akibishana na guest mmoja engineer...hadi ikafikia mahari yule engineer akamwambia "dada unapotosha ukweli ni vizuri ukaacha kujadili mambo usiyo yajua vizuri hii ni taaluma nyingine" quote isiyo rasmi...vivo hivyo hata juu ya taaluma yake naona kama anakosea hasa pale anapomkatisha mtu kuzungumza eti kisa katoa mfano wa mtu amabye hayupo pale studio wakati ipo mifano ya watu wengine huruhusu itolewe na hata yeye kuitoa mwenyewe .....nikiona yeye ndo anaendesha mada naweka channel ya katuini...
Income yao ilaumiwe!kumbe kale kadada nako ni nazi......ila waandishi wa habari Tanzania u have to step up...mpo nyuma sana.....hamsomi, hamfuatilii mambo, u know nothing....siasa hamjui...mambo ya kijamii ni watupu......hata wahariri wakubwa tu...ni wavivu
katika nini?tunazungumzia uendeshaji wa mijadala na si utangazaji....ni kuhusu uelewa wa mambo....
Kama muungwana anatakiwa kuomba radhi
Mkuu chikutentema nipm namba yake niongee naye ili alitolee ufafanuzi.
WABHEJASANA leo nimekusamehe bure sitaki kuutia nuksi ushindi wa jana, vinginevyo ningekulambisha shubiri wewe mwanambiti.
ipi mbaya zaidi Mtangazaji kama IVONA KAMUNTU kujipambanua au kiongozi wa kanisa kama KAKOBE?Mtangazaji wa kituo cha runinga cha startv Bi.Ivona Kamuntu ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakipo katika Muungano kwa madai kuwa kimeshajitoa.
Mwandishi huyo ameyasema hayo katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha leo wakati akifanya mahojiano na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia January Makamba. Amedai kuwa vyama vya CCM na CUF ndivyo bado viko katika muungano!
MY TAKE:
Kauli kama hii inadhihirisha namna waandishi wetu wa habari walivyo weupe vichwani na mara nyingine wanapojivika ukada wa vyama vya siasa badala ya kujikita katika weledi. Na Ivona leo amejipambanua wazi jinsi anavyotindikiwa weledi katika tasnia ya habari na siasa za nchi hii.
Mdau wa startv na JF Yahya Mohamed naomba ukimpata Ivona Kamuntu umlete hapa aje kutueleza ni lini CHADEMA walijitoa katika Muungano.
Tatizo la kutegemea mambo chanya pekee, mwandishi mzuri ni yule ambaye hana upande anaouegemea , wewe ulitegemea awabebe bebe CHAMA hata kwa mambo ambayo hayana tina kwa taifa? Big up IVONA watakupiga chini, sisi tutakunyanyua na utaendelea na safari.Miongoni mwa wandishi wa habari wanawake niliokuwa nawakubali ni Ivona Kamuntu kwani alikua ana confidence kweli awapo mbele ya camera za star tv sasa kama ameamua kuwa na tabia za umbea basi inabidi na vipindi vyake tuvipige chini maana sisi ndio watazamaji wake. Pia utafiti na kusoma ni mhimu sana kwa mwandishi yeyote kujua dunia inaendaje, ndio maana ukisiliza baadhi ya wandishi wakisoma magazeti utacheka jinsi hata wasivyojua kutamka na kusoma majina ya kawaida kabisa, kwa mfano siku moja nimecheka mtangazaji mmoja jina la Mc cain , hivyo lazima wasome
ipi mbaya zaidi Mtangazaji kama IVONA KAMUNTU kujipambanua au kiongozi wa kanisa kama KAKOBE?
Tatizo vyuo vyao vya Buguruni kasoma chuo kinaitwa Times cha uandishi wa habari,nirudi kwa topic,hiki kipindi kimerudiwa tu,kilifanyika kabla ya kile cha Samweli Sita,kiukweli akikua kipindi bora cha siasa,alikua ofisini kwa January Makamba,january ndo alikua anaendesha kipindi,IVONI kazi yake kuitikia na kuanzisha mada na kusubili January ajipigie Debe,na nakumbuka mwishoni mwa Kipindi January alimkumbusha IVON kuhusu ndoa yake mwezi ujao(anaolewa IVON) kwa uelewa wangu IVONI KAMUNTU pale alifuata mchango wa Harusi yake kwa January,akaamua kurekodi na kipindi
#Ex Tanzania Simper aliquid novi#
Huu sasa ni ukima, mbona ccm mnataka kuwa wasemaji wa CDM?? Huyo mdada naye mahojiano yake na huyo kipara ilikuwaje yaihusu na CDM BILA hata cdm kuwepo??
Au ndio kusaka umaarufu kwa jina la CDM?
Tatizo la kutegemea mambo chanya pekee, mwandishi mzuri ni yule ambaye hana upande anaouegemea , wewe ulitegemea awabebe bebe CHAMA hata kwa mambo ambayo hayana tina kwa taifa? Big up IVONA watakupiga chini, sisi tutakunyanyua na utaendelea na safari.
maskini CHADEMA, sijui sasa mtaangalia TV gani!