chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Mwita kama kamuntu hana akaunti humu mwteni yahya hata kwa simu aje ajibu huu upotoshaji
Teh teh, ameamua kuwa msemaji wa chadema!
Haka kadada kamevurugwaa hakajitambui kabisa
labda tuone CV yake huenda ni wale wale wa form 4 au form 6 failure
mtangazaji anatakiwa awe makini na asiegemee upande wowote
sasa labda asema ni lini walijitoa na lini walishatoa tamko la kujitoa.
kama sivo aje aombe msamaha
nawasihi media kuacha kuajiri vilaza waajiri watu wenye elimu stahiki na ufaulu unaotakiwa

maskini CHADEMA, sijui sasa mtaangalia TV gani!
Kama muungwana anatakiwa kuomba radhi
Inaonekana leo umeenda kwa
shemeji ako kuangalia tv, hcho kpind ni cha zaman wamerudia leo hata
kabla ya cha samuel sita wk iliyopta, uckurupuke kuponda watu hata
haujui vitu.
utakuwa unawashwa wewe si bure!
Kale kazee vile nani anaoa?huyo jamaa lazima atakuwa ni yahaya tu....
watu wakizoea kukunwa bana. wanasumbua sana humu JF. Ila ukumbuke kuwa hili si jukwaa la kutafuta mabwana
ahsante mkuu kwa Taarifa. Kumbe Mwita Maranya amekuwa kilaza hivi?