Ivona Kamuntu (Startv): CHADEMA Wameshajitoa Katika Muungano...!

Ivona Kamuntu (Startv): CHADEMA Wameshajitoa Katika Muungano...!

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Posts
10,565
Reaction score
7,993
Mtangazaji wa kituo cha runinga cha startv Bi.Ivona Kamuntu ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakipo katika Muungano kwa madai kuwa kimeshajitoa.

Mwandishi huyo ameyasema hayo katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha leo wakati akifanya mahojiano na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia January Makamba. Amedai kuwa vyama vya CCM na CUF ndivyo bado viko katika muungano!

MY TAKE:
Kauli kama hii inadhihirisha namna waandishi wetu wa habari walivyo weupe vichwani na mara nyingine wanapojivika ukada wa vyama vya siasa badala ya kujikita katika weledi. Na Ivona leo amejipambanua wazi jinsi anavyotindikiwa weledi katika tasnia ya habari na siasa za nchi hii.

Mdau wa startv na JF Yahya Mohamed naomba ukimpata Ivona Kamuntu umlete hapa aje kutueleza ni lini CHADEMA walijitoa katika Muungano.
 
hilo nalo janga,naona hilo gamba halijitambui.tangu lini huyo dogo mwenye kipara akawa msemaji wa cdm? kuwa sisiem hadi uwe na akili za maiti
 
Yvonna ni mwandishi chipukizi anayefanya vizuri kuliko waandishi wengi wa kike. Waandishi wa kike wengi ni type ya kina Grace Kingalame. Wamejaza tui la nazi tu kichwani hamna jipya. Yvonna anafanya vizuri. Tumtie moyo. Yahya Mohamed fikisha pongezi zabgu kwa Ivona.
 
Last edited by a moderator:
Yvonna ni mwandishi chipukizi anayefanya vizuri kuliko waandishi wengi wa kike. Waandishi wa kike wengi ni type ya kina Grace Kingalame. Wamejaza tui la nazi tu kichwani hamna jipya. Yvonna anafanya vizuri. Tumtie moyo. Yahya Mohamed fikisha pongezi zabgu kwa Ivona.

We utakua unamtamani. kwa taarifa tu, soon atakua mke wa mtu.
 
Mtangazaji wa kituo cha runinga cha startv Bi.Ivona Kamuntu ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hakipo katika Muungano kwa madai kuwa kimeshajitoa.

Mwandishi huyo ameyasema hayo katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha leo wakati akifanya mahojiano na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia January Makamba. Amedai kuwa vyama vya ccm na cuf ndivyo bado viko katika muungano!

MY TAKE:
Kauli kama hii inadhihirisha namna waandishi wetu wa habari walivyo weupe vichwani na mara nyingine wanapojivika ukada wa vyama vya siasa badala ya kujikita katika weledi. Na Ivona leo amejipambanua wazi jinsi anavyotindikiwa weledi katika tasnia ya habari na siasa za nchi hii.

Mdau wa startv na JF Yahya Mohamed naomba ukimpata Ivona Kamuntu umlete hapa aje kutueleza ni lini Chadema walijitoa katika Muungano.

Haka kadada nilianza kukaona kabogas kalipokuja kwenye mgomo wa Udom kuripoti kakopotosha huwezi jua labda kanattafuta Udc na hivi ni KE ile kitu inawatumika kam source of income kwi kwi uko wapi kamuntu(kamtu kanono-yaani kamtu kadogo) njoo hapa tukuchane live
 
Jamani hakuna mtangazaji asiyependa zawadi ya ukuu wa wilaya na hata ukuu wa mkoa; Ila ni vema wakajua kwamba vyeo hivyo vitafutika chini ya katiba mpya; Ushahabiki uchwara wa cloud FM...inayoongozwa na jamaa fulani K&G.
 
Mtangazaji wa kituo cha runinga cha startv Bi.Ivona Kamuntu ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakipo katika Muungano kwa madai kuwa kimeshajitoa.

Mwandishi huyo ameyasema hayo katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha leo wakati akifanya mahojiano na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia January Makamba. Amedai kuwa vyama vya CCM na CUF ndivyo bado viko katika muungano!

MY TAKE:
Kauli kama hii inadhihirisha namna waandishi wetu wa habari walivyo weupe vichwani na mara nyingine wanapojivika ukada wa vyama vya siasa badala ya kujikita katika weledi. Na Ivona leo amejipambanua wazi jinsi anavyotindikiwa weledi katika tasnia ya habari na siasa za nchi hii.

Mdau wa startv na JF Yahya Mohamed naomba ukimpata Ivona Kamuntu umlete hapa aje kutueleza ni lini CHADEMA walijitoa katika Muungano.

Huenda haelewi huu Muungano ni juu ya jambo gani, ni kweli upo muungano wa CCM na CUF kule Zanzibar, na hauja vunjika, na pia upo Muungano wa vyama vya upinzani vya siasa CUF, CHADEMA, NCCR-Mageuzi(Sio TLP), juu ya marekebisho ya sheria ya rasimu ya katiba, na huu pia haujavunjika CHADEMA ni member wa huu muungano.

Wito wangu kwa huyu mwandishi ni kujitafutia na kujiongezea maarifa hasa ya vipindi anavyoviongoza vinginevyo atadharaulliwa na kupoteza watazamaji wake
 
kumbe kale kadada nako ni nazi......ila waandishi wa habari Tanzania u have to step up...mpo nyuma sana.....hamsomi, hamfuatilii mambo, u know nothing....siasa hamjui...mambo ya kijamii ni watupu......hata wahariri wakubwa tu...ni wavivu
 
...unategemea nini kutoka kwa mtangazaji wa kituo cha tv kinachomilikiwa na mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mwanza!?...
 
Mtangazaji wa kituo
cha runinga cha startv Bi.Ivona Kamuntu ameeleza kuwa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakipo katika Muungano kwa madai kuwa
kimeshajitoa.

Mwandishi huyo ameyasema hayo katika kipindi cha medani za siasa na
uchumi cha leo wakati akifanya mahojiano na naibu waziri wa mawasiliano
sayansi na teknolojia January Makamba. Amedai kuwa vyama vya CCM na CUF
ndivyo bado viko katika muungano!

MY TAKE:
Kauli kama hii inadhihirisha namna waandishi wetu wa habari walivyo
weupe vichwani na mara nyingine wanapojivika ukada wa vyama vya siasa
badala ya kujikita katika weledi. Na Ivona leo amejipambanua wazi jinsi
anavyotindikiwa weledi katika tasnia ya habari na siasa za nchi hii.

Mdau wa startv na JF
Yahya
Mohamed
naomba ukimpata Ivona Kamuntu umlete hapa aje
kutueleza ni lini CHADEMA walijitoa katika Muungano.

kwani lini chadema walikuwa kwenye muungano? hapa sasa nakumbuka mantiki ya ule uzi uliowekwa humu JF kuwa walioungana ni Mbowe, Mbatia na Lipumba na si CUF, CHADEMA na NCCR. Mdau CHABRUMA alitueleza sababu nyingi lakini moja la muhimu ni kukosekana kwa hati ya makubaliano ya muungano
 
Back
Top Bottom