Ivona Kamuntu (Startv): CHADEMA Wameshajitoa Katika Muungano...!

Ivona Kamuntu (Startv): CHADEMA Wameshajitoa Katika Muungano...!

Mtangazaji wa kituo cha runinga cha startv Bi.Ivona Kamuntu ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakipo katika Muungano kwa madai kuwa kimeshajitoa.

Mwandishi huyo ameyasema hayo katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha leo wakati akifanya mahojiano na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia January Makamba. Amedai kuwa vyama vya CCM na CUF ndivyo bado viko katika muungano!

MY TAKE:
Kauli kama hii inadhihirisha namna waandishi wetu wa habari walivyo weupe vichwani na mara nyingine wanapojivika ukada wa vyama vya siasa badala ya kujikita katika weledi. Na Ivona leo amejipambanua wazi jinsi anavyotindikiwa weledi katika tasnia ya habari na siasa za nchi hii.

Mdau wa startv na JF Yahya Mohamed naomba ukimpata Ivona Kamuntu umlete hapa aje kutueleza ni lini CHADEMA walijitoa katika Muungano.

atakuwa amepitiwa tu au umemuelewa vibaya sababu huyu dada huwa yuko makini sana japo hakuna barabara ndefu inayo kosa kona. mia
 
maskini CHADEMA, sijui sasa mtaangalia TV gani!

Wee Kweli JUHA, kwako wewe tv ni itv, tbc, star tv, et al., basi kama unategemea hizo Upo nyuma sana manake JF tu pekee ipo juu sana kuliko hizo tv zako uchwara
 
Muungano wa vyama lazima ufuate vikao vya vyama. Lakini huu wa Mbowe. Lipumba na Mbatia ni wahuni watatu ambao wanawazuga vichwa vya panzi kwa sababu ya uelewa mdogom kuwaambia kuwa ni muungano wa vyama. Kamuntu yupo sahihi
 
Huyu dada si mchumba wa mwandishi mmoja wa Star Tv..anaitwa Nyamihula kama sijakosea. Naomba elimu yake tafadhali.
 
umakini ndio huo wa kusema chadema wamejitoa muungano?
au umakini ndio huo wa kujivika usemaji wa chama bila chama kuwa na tamko kama hilo?
Hivi nyie CCM mnadhani kila anaewapinga ni mwanachadema? sina chama
na vichwa vyenu kila alie CCM lolote asemalo mnaunga mkono

kamuntu yupo makini na anaijua kazi kuliko mnavyofikiria. siku zote si ndo mlikuwa mnamsifu sana huyu dada? au kwa vile kagusa kwenye nyeti zenu? tulieni na mpeni moyo huyu dada. kiukweli anafanya vizuri sana
 
Wee Kweli JUHA, kwako wewe tv ni itv, tbc, star tv, et al., basi kama unategemea hizo Upo nyuma sana manake JF tu pekee ipo juu sana kuliko hizo tv zako uchwara
mfamaji hakosi kutapatapa, kwa akili yako ndogo unalinganisha Jf na media kama ITV, STAR NA CHA 10!!? Unajua nia watu wangapi wanazulu jf na wangapi wanaangalia Tv per dy? acha ulimbukeni wa akili ndogo? kikwetu dizaini yako tunakuchukulia kama nyantira
 
Wale wote mlioangalia mahojiano hayo mnaweza kutusaidia kusema ukweli kuwa "the girl is completely bogus" kuanzia kwenye maswali aliyouliza ambayo yalikuwa obvious alafu anauliza uongo. Kwa mfano, alimuuliza January eti CCM hawawezi kuweka mgombea Zanzibar kisa eti hawaungi mkono serikali tatu. Ukitaka kuwa mwandishi makini ni lazima ujielimishe kwanza kabla hujaelimisha wengine. Huyu binto na waandishi wengine ni lazima wasome na kuelewa mambo kuliko watu wengine. Huyu binti ni form four leaver na kabla ya Star TV alikuwa pale EATV. Sijui kama amejiaendeleza lakini national television, prime show na a national politician unampa mtu kama huyo kufanya interview is a complete disgrace. Huwa hawaona international TV networks watu wanavyouliza maswali?
 
mtangazaji wa kituo cha runinga cha startv bi.ivona kamuntu ameeleza kuwa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) hakipo katika muungano kwa madai kuwa kimeshajitoa.

Mwandishi huyo ameyasema hayo katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha leo wakati akifanya mahojiano na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia january makamba. Amedai kuwa vyama vya ccm na cuf ndivyo bado viko katika muungano!

My take:
Kauli kama hii inadhihirisha namna waandishi wetu wa habari walivyo weupe vichwani na mara nyingine wanapojivika ukada wa vyama vya siasa badala ya kujikita katika weledi. Na ivona leo amejipambanua wazi jinsi anavyotindikiwa weledi katika tasnia ya habari na siasa za nchi hii.

Mdau wa startv na jf yahya mohamed naomba ukimpata ivona kamuntu umlete hapa aje kutueleza ni lini chadema walijitoa katika muungano.

hiki kiazi nacho kimeingiaje kwenye masuala nyeti kama haya. Tatizo kila mtu ni great thinker even simple thinkers. Please dont take serious consideration from such individual they normally add no value but rather destructive
 
Mtangazaji wa kituo cha runinga cha startv Bi.Ivona Kamuntu ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakipo katika Muungano kwa madai kuwa kimeshajitoa.

Mwandishi huyo ameyasema hayo katika kipindi cha medani za siasa na uchumi cha leo wakati akifanya mahojiano na naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia January Makamba. Amedai kuwa vyama vya CCM na CUF ndivyo bado viko katika muungano!

MY TAKE:
Kauli kama hii inadhihirisha namna waandishi wetu wa habari walivyo weupe vichwani na mara nyingine wanapojivika ukada wa vyama vya siasa badala ya kujikita katika weledi. Na Ivona leo amejipambanua wazi jinsi anavyotindikiwa weledi katika tasnia ya habari na siasa za nchi hii.

Mdau wa startv na JF Yahya Mohamed naomba ukimpata Ivona Kamuntu umlete hapa aje kutueleza ni lini CHADEMA walijitoa katika Muungano.

Mkuu Mwita Maranya heshima yako. Unaongelea muungano gani? Suala la muungano ni nyeti na si kila makubaliano yanakuwa ni Muungano!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom