Mfahamu Howard Stern: Mtangazaji Tajiri zaidi Duniani

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,458
99,098
Huyu jamaa kwa Sasa Ni MTANGAZAJI mwajiriwa wa kituo Cha utangazaji Sirius-Xm Kama mwendeshaji mkuu wa kipindi cha HOWARD STERN SHOW.

Howard stern amejikita zaidi katika utangazaji wa habar zinazohusu Ngono (porn News).

Amekua maarufu zaidi katika utangazaji wa vipindi vifuatavyo.
1. Porn wresting (mieleka ya ngono)
2. Nude interview (interview za watu kua uchi wa mnyama)
3. Porn casting (usaili wa waigiza ngono)
4. Masterbation contest (michuano ya punyeto duniani)
5. Fvck festivals (sikukuu za kungonoka Duniani)
6. Sex party MC (Ni mc wa shughuli zote zinazohusu Ngono)
7.Nude bike ride Contest (michuano ya kuendeshwa baiskeli uchi
8. Nakadhalika.....

Howard stern Anakadiriwa kuwa na utajiri wa Zaid ya Dola Mil.800 ambapo analipwa mshahara wa Dola mil. 90 kwa mwaka na siriusXm, uku kipindi hicho kikiingiza zaidi ya Dola Billion 1 tangu mwaka 2004 kilipoanzishwa.

ALIANZAJE SASA UTANGAZAJI
Baadae ya kuhitimu Bsc in COMMUNICATION Engineering uko Boston University mwaka 1976

Alijiriwa Kama Tape recorder assistant katika kituo Cha utangazaji Cha HURTFORD, uko Detroit Marekani kwa miezi 2 tu Kisha akaacha na kwenda kuajiliwa Tena na kituo kingine kinaitwa CONNECTCUT kilichopo Michigan Marekani. Akiwa Kama PRODUCER na kufanya kazi pale kwa miez 6 TU.

Kisha kuhamishiwa Washington DC ambako CONNECTCUT hao hao walifungua stesheni nyingine. Na kwenda kubeba majukumu mapya akiwa kama MTANGAZAJI na wakati huo huo Ni producer.

Alipofika Washington DC akakutana na mwanadada mweusi Robin Quivers ambae walikuwa marafiki Sana na ndio akawa MTANGAZAJI mwenza walioelewana Sana hapo kazini kwake.Baadae walikuja kuingia kwenye mahusiano na Robin Quivers Kama mtu na mpenzi wake.

Akishirikiana na Robin Quevers wakaanzisha kipindi maalum Kikiwa na mahojiano na kuelezea maisha halisia ya jamii ya watu wanaoishi uchi (NUDE SOCIETY) na wenyeji halisia wa pale Marekani, RED INDIANS.

Kwa mtindo ule ule wa matembezi ya kila mara kwenye mazingira Yao ktk mfumo wa series za kila wiki.
(Mfano mzuri ni kama kile kipindi Cha USWAZI Cha Zembwela, EATV)

Kipindi hiki kilipata umaarufu na wafuasi wengi Sana nchini marekani na duniani kiujumla na kupelekea makampuni mengi ya Video za ngono kuanza kuigiza vipindi vinavyowahusu jamii iyo ya watu (red indians.

Howard stern akarusha pia jamii hiyo inavyofanya mapenzi ambapo jamii Iyo haikua ajabu sana watu kufanya mapenz ndani ya familia Kama wanyama. Tena hadharani.
Yaani kwenye jamii ya red indians,
  • Baba anaweza kumlala mtoto,
  • Mtoto anaweza kumlala mama,
  • Shangazi anaweza kumlala mtoto wa dada n.k
Na hata ngono kwa jamii ile haikua kitu Cha kujificha, wao walikua wanafanya hadharan mbele ya wanafamilia.

Baada ya zile interview na red indians,
Ilipofika mwaka 1980 Howard stern akashawishika tena kuanza kuwahoji wale Watu waliokua wakienda kushoot video za porn kwenye jamii ya Red indians na interview zile zikawa zinarushwa live kwenye kipindi watu wanafatilia kila episode.

Ilipofika 1982,
Kelele za watu wa maadili na serikali ya Washington Dc, uongozi wa CONNECTCUT uliwafukuza rasmi kazi Howard stern na Mwenzie Robin Quivers kwenye kampuni Iyo baada ya kupigwa faini na kufungiwa kipindi icho na serikali ya Washington DC kwa kosa la kurusha live Mila ya redindians kuwatoa mabinti wao bikira. Akikiita DEFROLATION.

Ambapo mabinti wao MaBikra,
Baba mzazi au Baba wa baba mzazi (Babu) ndio alikua anawajibika kumtoa Binti bikira kwa usaidizi wa mama mzazi akishuhudia KABISA. Kipindi hiki Howard stern alituhumiwa kukirusha live Bila kuficha chochote (yaan censorship).

Hawakukaa Sana, mwaka huo huo 1982 wakasainiwa na kituo Cha WNBC Kilichokua NEW YORK marekani.
Ambako walienda kuendelea na kipind Kama kile kile chenye maudhui ya ngono mpaka mwaka 1984 walipoingia tamaa ya kutaka kuanzisha kipindi chao wenyewe wakikiita HOWARD STERN SHOW uku Wakirecord documentary kwenye tape na kuziuza mitaani na kuingiza pesa ikiwa Ni kinyume na mkataba wao na WNBC. Ambako ilipelekea wao kufukuzwa kazi pale WNBC.

Ilipofika mwaka 1985,
Howard stern akaingia mkataba na kituo Cha utangazaji WXRK kurusha hewan documentary zote za HOWARD STERN SHOW huku wakisimamia mauzo yote ya uuzaji wa zile tape mitaani kote marekani nzima.

Mpka kufikia mwaka 1990,
Kipind Cha ngono Cha HOWARD STERN SHOW kikirushwa live na WXRK kilikua kishapigwa faini zaidi ya Dolamillion 2 na mAmlaka za washington DC ambazo zilichagizwa na kurushwa live kwa kipindi cha PORN CASTING (usaili wa wacheza ngono) , ambacho kiliruka hewan kuanzia saa 3 usiku mpk saa 5 usiku huku kikituhumiwa kesi kadhaa za kuhusisha wabinti na vijana walio chini ya miaka 18 kijiunga na usaili huo.

Baadae ya kelele nyingi kutoka kwenye mamlaka za FCC, mwaka 2004 WXRK ilifungiwa leseni yake. kitu kilichosabisha HOWARD STERN mwaka huo huo 2004 kuhamia kituo cha SiriusXm ambacho kilikua hakifuati sheria za Kimaadili za FCC kwa Maana ya kwamba leseni yake haikusajiliwa Kama kutuo Cha ndani, bali Cha kimataifa. Na muda wa kurusha matangazo yake ukawa Ni usiku wa manane (saa 7 usku mpk saa 9 usiku)

Howard stern aliingia mkataba na siriusXm wa miaka 5 wenye thamani ya Dola million 200 wa kusimamia hati miliki zote za kipindi Cha HOWARD STERN SHOW huku akilipwa mshahara wa Dola mil50 kwa mwaka.

Ilipofika mwaka 2006,
Howard stern akiwa siriusXm alianzisha kipind chake Cha pembeni kijulikanacho Kama PORN WRESTLING (mieleka ya ngono) kikiwa na kipengele Cha mahojiano ya wazi wanamieleka wakiwa uchi na maisha Yao nje ya tasnia kiujumla.

Ambapo kipind hicho kilipata umaarufu Sana na kupelekea uongozi wa siriusXm kumtimua kazi HOWARD STERN kwa kukiuka makubaliano kwa kuanzisha nude interview nyingine nje ya ile iliyokua ikiendeshwa na HOWARD STERN SHOW. Na kuletwa watangazaji wengine wapya kuendeleza kipindi kile kwa jina Lile Lile la HOWARD STERN SHOW.

ilipofika Mwaka 2007 Howard stern alienda mahakamani kudai hati miliki ya jina lake kutumika kwenye jina la kipindi wkt yeye keshafukuzwa kazi .
Na mwaka 2009 Howard stern alishinda kesi na kulipwa fidia ya Dola mil.10 pamoja na mahakama kuwaamuru SiriusXm kubadili jina Hilo, Jina la HOWARD STERN SHOW likarudi kwa mwenyewe.

Mwaka 2010 HOWARD STERN alisaini mkataba wa dola mil 300 kwa miaka 10 na PORNHUB kurusha vipind vyote vya HOWARD STERN SHOW ambapo kipindi kiliendelea kurushwa mpk mwaka 2019 mkataba na PORNHUB ulipofika kikomo

Ilipofika Mwaka 2020,
SiriusXm wakamrudia Tena Howard stern na Kumaliza tofauti zao uku wakimpa donge nono la dolla mil 500 Kwa miaka 5 mpaka 2025 kuinunua Tena HOWARD STERN SHOW huku wakimtaka Tena arudi kwenye utangazaji huku wakimlipa mshahara wa dola mil.90 kwa mwaka.

Huku kwenye mkataba kukiwa na kipengele kisichomzuia Howard stern kutokufanya kazi nyingine nje ya Sirius Xm. Ambapo kipengele hicho kilimpa nafas ya kufanya kazi nyingine ya kuajiliwa Kama EXECUTIVE PRODUCER Katika kituo kingine Cha utangazaji Cha SITCOM TV ambako alifanya kazi kwa mwaka MMOJA TU (2020-2021).

NYONGEZA PIA,
Howard stern alishawai kua judge kwenye kipind maarufu Cha AMERICA GOT TALENT kuanzia mwaka 2012-2015
images-913.jpg
images-914.jpg
 
Vipi kuhusu yule Mpenzi wake Mweusi, naye ni Tajiri pia!?
Story Yao ndefu kidg,
Ila kuna kipind waligombana wakatengana, Howard akamkatia Robin kilichobaki kwenye hatimiliki ya Howard stern show.
na Robin akaolewa kwingine,

Howard akaendeleza kipindi mwenyewe.
Baadae wakaja rudiana ila ikawa kikazi zaidi, Bila mahusiano Tena. Na Robin akiwa Kama mwajiliwa na sio sehemu ya mmiliki Tena.

Kwasasa,
Howard stern kaoa kwingine,
Robin Quievers na kaolewa kwingine.

Ila kazi bado wanapiga pamoja kuiendesha Howard stern show
 
Huyu jamaa kwa Sasa Ni MTANGAZAJI mwajiriwa wa kituo Cha utangazaji Sirius-Xm Kama mwendeshaji mkuu wa kipindi Cha HOWARD STERN SHOW.

Howard stern amejikita zaidi katika utangazaji wa habar zinazohusu Ngono (porn News).

Amekua maarufu zaidi katika utangazaji wa vipindi vifuatavyo.
1. Porn wresting (mieleka ya ngono)
2. Nude interview (interview za watu kua uchi wa mnyama)
3. Porn casting (usaili wa waigiza ngono)
4. Masterbation contest (michuano ya punyeto duniani)
5. Fvck festivals (sikukuu za kungonoka Duniani)
6. Sex party MC (Ni mc wa shughuli zote zinazohusu Ngono)
7.Nude bike ride Contest (michuano ya kuendeshwa baiskeli uchi
8. Nakadhalika.....

Howard stern Anakadiriwa kua na utajiri wa Dola Mil.700 ambapo analipwa mshahara wa Dola mil. 90 kwa mwaka na siriusXm, uku kipindi hicho kikiingiza zaidi ya DolaBillion 1 tangu mwaka 2004 kilipoanzishwa.

ALIANZAJE SASA UTANGAZAJI
Baadae ya kuhitimu Bsc in COMMUNICATION Engineering uko Boston University mwaka 1976

Alijiriwa Kama Tape recorder assistant katika kituo Cha utangazaji Cha HURTFORD, uko Detroit marekani kwa miez 2 tu Kisha akaacha na kwenda kuajiliwa Tena na kituo kingine kinaitwa CONNECTCUT kilichopo Michigan marekani. Akiwa Kama PRODUCER na kufanya kazi pale kwa miez 6 TU.

Kisha kuhamishiwa Washington DC ambako CONNECTCUT hao hao walifungua stesheni nyingine. Na kwenda kubeba majukumu mapya akiwa kama MTANGAZAJI na wakati huo huo Ni producer.

Alipofika Washington DC akakutana na mwanadada mweusi Robin Quivers ambae walikua marafiki Sana na ndio akawa MTANGAZAJI mwenza walioelewana Sana hapo kazini kwake.Baadae walikuja kuingia kwenye mahusiano na Robin Quivers Kama mtu na mpenz wake.

Akishirikiana na Robin quevers wakaanzisha kipindi maalum Kikiwa na mahojiano na kuelezea maisha halisia ya jamii ya watu wanaoishi uchi (NUDE SOCIETY) na wenyeji halisia wa pale marekani, RED INDIANS.

Kwa mtindo ule ule wa matembezi ya kila mara kwenye mazingira Yao ktk mfumo wa series za kila wiki.
(Mfano mzuri ni kama kile kipindi Cha USWAZI Cha zembwela, EATV)

Kipindi hiki kilipata umaarufu na wafuasi wengi Sana nchini marekani na duniani kiujumla na kupelekea makampuni mengi ya Video za ngono kuanza kuigiza vipindi vinavyowahusu jamii iyo ya watu (red indians.

Howard stern akarusha pia jamii hiyo inavyofanya mapenzi ambapo jamii Iyo haikua ajabu sana watu kufanya mapenz ndani ya familia Kama wanyama. Tena hadharani.
Yaani kwenye jamii ya red indians,
-baba anaweza kumlala mtoto,
-mtoto anaweza kumlala mama,
-shangazi anaweza kumlala mtoto wa dada n.k
Na hata ngono kwa jamii ile haikua kitu Cha kujificha, wao walikua wanafanya hadharan mbele ya wanafamilia.

Baada ya zile interview na red indians,
Ilipofika mwaka 1980 Howard stern akashawishika tena kuanza kuwahoji wale Watu waliokua wakienda kushoot video za porn kwenye jamii ya Red indians na interview zile zikawa zinarushwa live kwenye kipindi watu wanafatilia kila episode.

Ilipofika 1982,
Kelele za watu wa maadili na serikali ya Washington Dc, uongozi wa CONNECTCUT uliwafukuza rasmi kazi Howard stern na Mwenzie Robin Quivers kwenye kampuni Iyo baada ya kupigwa faini na kufungiwa kipindi icho na serikali ya Washington DC kwa kosa la kurusha live Mila ya redindians kuwatoa mabinti wao bikira. Akikiita DEFROLATION.

Ambapo mabinti wao MaBikra,
Baba mzazi au Baba wa baba mzazi (Babu) ndio alikua anawajibika kumtoa Binti bikira kwa usaidizi wa mama mzazi akishuhudia KABISA. Kipindi hiki Howard stern alituhumiwa kukirusha live Bila kuficha chochote (yaan censorship).

Hawakukaa Sana, mwaka huo huo 1982 wakasainiwa na kituo Cha WNBC Kilichokua NEW YORK marekani.
Ambako walienda kuendelea na kipind Kama kile kile chenye maudhui ya ngono mpaka mwaka 1984 walipoingia tamaa ya kutaka kuanzisha kipindi chao wenyewe wakikiita HOWARD STERN SHOW uku Wakirecord documentary kwenye tape na kuziuza mitaani na kuingiza pesa ikiwa Ni kinyume na mkataba wao na WNBC. Ambako ilipelekea wao kufukuzwa kazi pale WNBC.

Ilipofika mwaka 1985,
Howard stern akaingia mkataba na kituo Cha utangazaji WXRK kurusha hewan documentary zote za HOWARD STERN SHOW huku wakisimamia mauzo yote ya uuzaji wa zile tape mitaani kote marekani nzima.

Mpka kufikia mwaka 1990,
Kipind Cha ngono Cha HOWARD STERN SHOW kikirushwa live na WXRK kilikua kishapigwa faini zaidi ya Dolamillion 2 na mAmlaka za washington DC ambazo zilichagizwa na kurushwa live kwa kipindi cha PORN CASTING (usaili wa wacheza ngono) , ambacho kiliruka hewan kuanzia saa 3 usiku mpk saa 5 usiku huku kikituhumiwa kesi kadhaa za kuhusisha wabinti na vijana walio chini ya miaka 18 kijiunga na usaili huo.

Baadae ya kelele nyingi kutoka kwenye mamlaka za FCC, mwaka 2004 WXRK ilifungiwa leseni yake. kitu kilichosabisha HOWARD STERN mwaka huo huo 2004 kuhamia kituo cha SiriusXm ambacho kilikua hakifuati sheria za Kimaadili za FCC kwa Maana ya kwamba leseni yake haikusajiliwa Kama kutuo Cha ndani, bali Cha kimataifa. Na muda wa kurusha matangazo yake ukawa Ni usiku wa manane (saa 7 usku mpk saa 9 usiku)

Howard stern aliingia mkataba na siriusXm wa miaka 5 wenye thamani ya Dola million 200 wa kusimamia hati miliki zote za kipindi Cha HOWARD STERN SHOW huku akilipwa mshahara wa Dola mil50 kwa mwaka.

Ilipofika mwaka 2006,
Howard stern akiwa siriusXm alianzisha kipind chake Cha pembeni kijulikanacho Kama PORN WRESTLING (mieleka ya ngono) kikiwa na kipengele Cha mahojiano ya wazi wanamieleka wakiwa uchi na maisha Yao nje ya tasnia kiujumla.

Ambapo kipind hicho kilipata umaarufu Sana na kupelekea uongozi wa siriusXm kumtimua kazi HOWARD STERN kwa kukiuka makubaliano kwa kuanzisha nude interview nyingine nje ya ile iliyokua ikiendeshwa na HOWARD STERN SHOW. Na kuletwa watangazaji wengine wapya kuendeleza kipindi kile kwa jina Lile Lile la HOWARD STERN SHOW.

ilipofika Mwaka 2007 Howard stern alienda mahakamani kudai hati miliki ya jina lake kutumika kwenye jina la kipindi wkt yeye keshafukuzwa kazi .
Na mwaka 2009 Howard stern alishinda kesi na kulipwa fidia ya Dola mil.10 pamoja na mahakama kuwaamuru SiriusXm kubadili jina Hilo, Jina la HOWARD STERN SHOW likarudi kwa mwenyewe.

Mwaka 2010 HOWARD STERN alisaini mkataba wa dola mil 300 kwa miaka 10 na PORNHUB kurusha vipind vyote vya HOWARD STERN SHOW ambapo kipindi kiliendelea kurushwa mpk mwaka 2019 mkataba na PORNHUB ulipofika kikomo

Ilipofika Mwaka 2020,
SiriusXm wakamrudia Tena Howard stern na Kumaliza tofauti zao uku wakimpa donge nono la dolla mil 500 Kwa miaka 5 mpaka 2025 kuinunua Tena HOWARD STERN SHOW huku wakimtaka Tena arudi kwenye utangazaji huku wakimlipa mshahara wa dola mil.90 kwa mwaka.

Huku kwenye mkataba kukiwa na kipengele kisichomzuia Howard stern kutokufanya kazi nyingine nje ya Sirius Xm. Ambapo kipengele hicho kilimpa nafas ya kufanya kazi nyingine ya kuajiliwa Kama EXECUTIVE PRODUCER Katika kituo kingine Cha utangazaji Cha SITCOM TV ambako alifanya kazi kwa mwaka MMOJA TU (2020-2021).

NYONGEZA PIA,
Howard stern alishawai kua judge kwenye kipind maarufu Cha AMERICA GOT TALENT kuanzia mwaka 2012-2015 View attachment 2184345View attachment 2184346
Mtagazaji tajiri duniani ni Oprah Winfrey...
Otherwise thanks kwa uzi mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom