Ivi sielewi kizungu au wao wamekosea?

Ivi sielewi kizungu au wao wamekosea?

McDonaldJr

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
6,386
Reaction score
7,562
ImageUploadedByJamiiForums1395139829.059182.jpg
 
Hiyo inaitwa Vice versa au round about
 
Lugha za watu tuziache tu
kweli kabisa, ila kwa uelewa wangu hiyo phrase ipo sahihi kabisa ila haileti maana anayotaka au aliyoizoea. In trust we God inaweza kuleta maana ya ' kwa imani tunaabudu'. lugha inasomewa na kutoa wataalamu.
 
Kama unavyo jua ndugu hii lugha watu wana meza A ianze wap na B ishie wapi
 
kweli kabisa, ila kwa uelewa wangu hiyo phrase ipo sahihi kabisa ila haileti maana anayotaka au aliyoizoea. In trust we God inaweza kuleta maana ya ' kwa imani tunaabudu'. lugha inasomewa na kutoa wataalamu.

Mmh...mkuu hii hapana! Imegoma kuload asee!!
 
najua rhymes hazileti ladha nzuri ya matamshi lakini grammar ni sawa na semantic okay jambo ndio inayozua mjadala. nionyeshe ni wapi grammar imevunjwa?
 
Haaa mkuu huko kwenye grammar mbona ndo inagoma kuload kabisa? Coz God imewekwa kama verb, sasa hebu ifikirie God as personal pronoun then uibadilishe kuwa verb! Kwangu naona ni meaningless or poor subject-verb agreement coz kuna more appropriate verbs to convey the meaning you said.
 
Back
Top Bottom