Ivi kuna hasara gani ukifanya haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ivi kuna hasara gani ukifanya haya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Oct 17, 2011.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,404
  Trophy Points: 280
  Wanaume sometimes tunakuwa wabishi na tunashikiria mambo fulani ambayo hata hayana maana. Tuna poteza vionjo kidogo kidogo na siku tunajikuta kwenye ndoa zenye zero gravity bila hata wenyewe kujua inakuaje. Si wote najua kuna watu wanafanya kazi yao vizuri hata wake zao wanawahitaji 24 hrs. Mume akisafiri mke hana raha, akichelewa hata kama aetoa taarifa bado hata lala hadi arudi.

  Fikiria majibu yako ktk maswali yafuatayo na kama hata nusu ni siyo kazi ipo. naweza kua nakosea kwa malezi niliyo ppewa lakini ukweli utajulikana.

  1. Ni mara ngapi umemwamusha mkeo kwa busu asubuhi??
  2. Ni mara ngapi umefua nguo yoyote ya familia iwe ya mtoto au ya mkeo, najua upo buse lakini mbona baa hukosi??
  3. Ni mara ngapi mkeo akikukuta nyumbani umewahi mpokea walau beg lake tuu??
  4. Ni mara ngapi umemtukana mkeo au umedharau bele ya watoto au hadi majirani wanajua??
  5.Ni mara ngapi ummemsaidia mkeo hata kusogeza kisu jikoni wengine hata wajawazito wanafanya kazi wakati jamaa anacheck manunited??
  6. Ni mara ngapi umekaa na wanao kuwambia habari nzuri za mkeo??
  7. Ni mara ngapi umeshiriki usafi wa nyumbani??

  Tusiwalaumu wanapo kosea, tuwaonye kwa upole na kuogopa. Watatuheshimu kupita upepo.

  SuperStock_1785-40454.jpg
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hii leo imenitachi....ngoja nitaiprinti fo fyucha yuzi.....
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hii ndio Ticket ya kuanza kutawaliwa na mwanamke!
   
 4. E

  Ekwilibriamu Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ...men! ..simple gestures as these turnout to a threat to their manhood!!!! ...yaan hata kumbusu mkeo threatens U?!!
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Nimependa saana post yako.. ila hio in blue ni wishful thinking kwa sie wanawake in most cases.. atleast kwa hawa waume zetu wa kiswahili...
   
 6. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,404
  Trophy Points: 280
  Mkwe vitu hivi sio sheria, na wala havifanywi kwa sababu ni zamu, Ili mambo yawe matamu lazima ufanye vitu tofauti. Unajua mumeo akikufulia gauni lako walau once, si tukio ambalo halita toka kichwani mwako. Huu ni mfano tuu nafikiri. Binti yako atakusimulia one day.
   
 7. b

  bia JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli uniongezea ki2 aksante cna
   
 8. Change_it

  Change_it JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red pagumu, akikuzoea itakua soo
   
 9. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, Mkuu umegonga Ikulu.
   
 10. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Kwa wanaume wa kiafrica hayo mambo ni magumu mno kufanyika
  may be kwa busu tuu
  Ila biashara ya wewe uko home na mkeo anakuja baada ya wewe kuwa home na unampokea bag mhhh
  haya mambo haya kwa imani za wanaume wengi ndo yanaleta kutawaliwa au kusema fulani katawaliwa na mkewe
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu mara nyingi tu aisee.....

  Ila umenifurahisha sana.............. kuna jamaa alimkumbatia mkewe watoto wakaanza kulia, kumbe walizoea kuona majamaa yanatandikana migumu na mieleka
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Mkuu MTM kweli kabisa
  Kuna familia baba na mama kukaa pamoja mezani na watoto ni issue sana
  Hata baba kumsifia mama kwa watoto bado ni nadra sana
   
 13. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,896
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Aisee. duu....sito mruhusu my wife aende Beijin!
   
 14. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  1. ni mara ngapi umeamshwa na mkeo kwa busu asubuhi
  2.ni mara ngapi chakula kikiisha ndani mkeo anakwenda kununua kimya kimya bila ya kuomba pesa kwako?, hata kama yeye ana kazi yake??
  2. ni mara ngapi umeambiwa na mkeo kuwa wewe ndo kazi yako kumlea na kumtunza yeye? hata kama yeye anakazi?
  3. ni mara ngapi watoto wako wakileta usumbufu umewai kuwaambia " nitawasemea kwa mama yenu akirudi"?
  4. ni mara ngapi mkiwa mmeishiwa au mna shida ya pesa/chochote mke wako amekuwa wakwanza kwenda kukopa?

  mwisho nakuomba waache wanawake waseme wanachotaka na wasichotaka , usiwasemee. usidhani wote wanapenda kuingiliwa ktk kazi zao au kupokea busu za asbui hata mswaki hujapiga
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  asante kwa re-mix!
   
 16. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,404
  Trophy Points: 280
  Fanya mara moja, uone maajabu.hiyo ni hofu tuu. huwezi kutawaliwa
   
 17. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kweli ni pagumu. Na ukijaribu tu unapangiwa zamu!
   
 18. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,404
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo kuzikimbia zamu, inabidi kuwa wagumu
   
 19. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ....Inategemea, uzoefu wa wanawake wa kiafrika ukifanya hata nusu ya hayo cha kwanza akilini mwake ni mhh kuna kitu unataka au kuna soo umefanya sasa unaanza kujiosha...! Na hizi negative thinking huwaGa zinaudhi sana wanaume ! Naweza kuwa napika, coz I luv to cook na ili niweze kulalamika chakula kibaya lazima niwe na uwezo wa kuonyesha kizuri kikoje...
  Ila isiwe warrant kwa sababu najua kupika basi ndo hujicheweleshe makusudi au uite mashoga na mkae mnasogoa domo tuuuu ukitegemea nitaingia kupika (wengine wanaleta mashoga just to show -off kuwa yy ni kibosile na dume lake sio chochote)- lakini wanasahau kuwa hiyo inaweza kuwa njia bora ya "kumuuza" huyo dume kwa hao mashoga kirahisi maana wengine mbele ya mashoga dume litaongeza manjonjo - kaangiza huku six packs zipo nje nje na una doogie ........... lol
   
 20. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,649
  Likes Received: 4,404
  Trophy Points: 280

  Du kazi ipo??
   
Loading...