don simon
Senior Member
- Nov 24, 2016
- 173
- 85
Long live clouds TV.aiseehh!hivi mtu makini ataangalia clouds kweli
hii nchi wajinga wengi utakuta jitu zima linaangalia shilawadu daahhh!!
halafu mnataka Tanzania ya viwanda...
Long live clouds TV.aiseehh!hivi mtu makini ataangalia clouds kweli
hii nchi wajinga wengi utakuta jitu zima linaangalia shilawadu daahhh!!
halafu mnataka Tanzania ya viwanda...
Harris Kapiga au Mbwiga Wa MbwigukeIle taarifa ya habar km mtangazi anapiga stor kijiweni ufananishe na ITV,umetumwa na tapeli ruge si bure
hii isidingo tangu ianze kuonyeshwa sijui ina umri gani?nilipenda sana kuangalia ITV nikiwa tz,but majuzi nimerudi nikakuta vipindi havina mvuto kabisa.I think wanatakiwa wabafilike,mfano Isidingo sidhani kama inawagazamaji wengi.Nadhani inabadilika sasa na kua TV ya wazee.
nilipenda sana kuangalia ITV nikiwa tz,but majuzi nimerudi nikakuta vipindi havina mvuto kabisa.I think wanatakiwa wabafilike,mfano Isidingo sidhani kama inawagazamaji wengi.Nadhani inabadilika sasa na kua TV ya wazee.
Ni kipindi cha udaku-wanapaka wenzao mav* habari za kizushi ndio Yao kazi,Hivi shilawadu ni nini?
Yap! MkuuWat Isidingo? Mkuu hicho ni kipindi bora kabisa na wateja tupo.
Ni wewe na mkeo ndo mnaangalia Clouds TV, mtu mzima na akili zake hawezi kuangalia takataka ya ccm hiyo, Kama kina Ruge wamekutuma waambie bado Sana, wajinga na majuha ndo huangalia clouds, TV ya propaganda za ccm.Takwimu za hivi karibuni zinazoonesha kituo cha televishen cha Clouds kikiwa kinaongoza kutazamwa na watazamaji wengi kimepeleka shockwaves na kilio kwa kituo ambacho kilikuwa kinaongoza kutazamwa kwa mda mrefu cha ITV.
Hali hii inahatarisha pia wazamini wa vipindi ambao wamekuwa wakinunua airtime ya matangazo kwa kipindi kirefu.
Just imagine wewe ndio muuzaji wa bidhaa fulani mathalani sabuni na unataka uitangaze alafu takwimu zinasema kuwa kituo fulani kinatazamwa zaidi, unadhani utajisumbua kupeleka matangazo yako ITV? Iwapo utayapeleka ITV definitely utataka utozwe pesa kidogo kuliko rates ambazo utapewa clouds.
Hali hii imethibitishwa na taarifa za kucheleweshwa kwa mshahara zilizotolewa na ITV, kitu ambacho kilikuwa hakijawahi kusikika kwa miaka ya nyuma.
Kuhaha kwingine kumeonekana baada ya ITV kulegeza msimamo wao na 'kuachia bure' matangazo yao kwa njia ya mtandao. yani sasa ukiwa na ile app yao, unaweza kuangalia matangazo ya ITV bure kupitia njia ya mtandao.
Jitihada zao zimekuja when it was too little too late... Ikumbukwe kuwa ITV ndicho kilikuwa kituo chenye watangazaji mahiri na wenye mvuto kama kina Kitenge ila wakati wanajiondoa ITV ilionesha kutowashobokea, kitu ambacho kimewafanya kupoteza watangazaji ambao walikuwa wanahamasisha watazamaji.
Pia wakati ving'amuzi kama star times wakati vinaingia, ITV ilionesha kugoma kujiunga na ving'amuzi hivyo, wakijiona kuwa wao ndio kituo bora na keki ya taifa.
Hiki kiliwafanya wale wasioweza kuipata ITV kwenye ving'amuzi kikimbilia kuangalia channel nyingine na kuifuta ITV kwenye akili zao.
ITV iliendelea kulala usingizi wa pono na kujidanganya kuwa wao ni super brand na kuzidisha fomarlity kwenye vipindi vyao hivyo kuvifanya vipoteze mvuto ihali TV kama clouds zinazoonesha vipindi vya kiswazi kama kile cha SHILAWADU wakizidi kujipatia umaarufu...
Kwa sasa ITV wana kibarua kizito sana kupambana na TV zinazoibukia na wasipojiangalia wanaweza wakazidi kupotezwa kwenye soko la watazamaji wa TV za nyumbani...
Isidingo inaanzaje kukosa watazamaji na mi nipoTwakimu za kupikwa hizo Cloudz over ITV yaani Isidingo imekosa kabisa watazamaji?

Tena watuachie isidingo yetu kwanza ilivyonoga sasaYap! Mkuu
Mimi mwenyewe nimekuwa mteja Mkubwa wa Isidingo-muda mrefu naifatiria hii kitu.
Mkuu unafananisha itv na clouds...? Chanel za kihun unafananisha na chanel descent mkuu.... Hapo ulipaswa kufananisha clouds na eatv. Watanzania bana...n lin tutapata ufaham...? itv ifananishe na azam kidogo ntakuelewa...mkuuTakwimu za hivi karibuni zinazoonesha kituo cha televishen cha Clouds kikiwa kinaongoza kutazamwa na watazamaji wengi kimepeleka shockwaves na kilio kwa kituo ambacho kilikuwa kinaongoza kutazamwa kwa mda mrefu cha ITV.
Hali hii inahatarisha pia wazamini wa vipindi ambao wamekuwa wakinunua airtime ya matangazo kwa kipindi kirefu.
Just imagine wewe ndio muuzaji wa bidhaa fulani mathalani sabuni na unataka uitangaze alafu takwimu zinasema kuwa kituo fulani kinatazamwa zaidi, unadhani utajisumbua kupeleka matangazo yako ITV? Iwapo utayapeleka ITV definitely utataka utozwe pesa kidogo kuliko rates ambazo utapewa clouds.
Hali hii imethibitishwa na taarifa za kucheleweshwa kwa mshahara zilizotolewa na ITV, kitu ambacho kilikuwa hakijawahi kusikika kwa miaka ya nyuma.
Kuhaha kwingine kumeonekana baada ya ITV kulegeza msimamo wao na 'kuachia bure' matangazo yao kwa njia ya mtandao. yani sasa ukiwa na ile app yao, unaweza kuangalia matangazo ya ITV bure kupitia njia ya mtandao.
Jitihada zao zimekuja when it was too little too late... Ikumbukwe kuwa ITV ndicho kilikuwa kituo chenye watangazaji mahiri na wenye mvuto kama kina Kitenge ila wakati wanajiondoa ITV ilionesha kutowashobokea, kitu ambacho kimewafanya kupoteza watangazaji ambao walikuwa wanahamasisha watazamaji.
Pia wakati ving'amuzi kama star times wakati vinaingia, ITV ilionesha kugoma kujiunga na ving'amuzi hivyo, wakijiona kuwa wao ndio kituo bora na keki ya taifa.
Hiki kiliwafanya wale wasioweza kuipata ITV kwenye ving'amuzi kikimbilia kuangalia channel nyingine na kuifuta ITV kwenye akili zao.
ITV iliendelea kulala usingizi wa pono na kujidanganya kuwa wao ni super brand na kuzidisha fomarlity kwenye vipindi vyao hivyo kuvifanya vipoteze mvuto ihali TV kama clouds zinazoonesha vipindi vya kiswazi kama kile cha SHILAWADU wakizidi kujipatia umaarufu...
Kwa sasa ITV wana kibarua kizito sana kupambana na TV zinazoibukia na wasipojiangalia wanaweza wakazidi kupotezwa kwenye soko la watazamaji wa TV za nyumbani...
Shilawadu ndiyo nini mkuu nasikia watu wanaizungumzia sana.aiseehh!hivi mtu makini ataangalia clouds kweli
hii nchi wajinga wengi utakuta jitu zima linaangalia shilawadu daahhh!!
halafu mnataka Tanzania ya viwanda...
mimi nilikuwa naipenda ITV wakati ule bado haijatekwa na sisiem ila kwa sasa sins kituo nachoangalia zaidi ya BBC dila ya dunia, clouds ndio sitaki hata kuisikia
Wasalimie SengeremaJamani kweli ITV unafananisha na Clouds!! tangu nianze kwenda bar kupata moja moto au baridi au kwenye mikusanyiko ya watu wazima sijawahi sikia watu wanashout eti tuwekee clouds tusikilize taarifa ya habari ila ukichelewesha kutune ITV utasindikizwa na matusi kama ni baa. Inaonyesha mtoa mada unakaa sana nyumbani kung'ang'aniana remote na watoto ndo wanaopenda clouds.
Atakua ni Ruge