Hata hivyo tv zinaingiza pesa sana wakati wa prine time. Na ndo huo wa Isidingo na taarifa.Tunatofautiana interest na hobby. Kuangalia clouds ni moja ya burudani na vijana wengi au mtu yeyote mpenda burudani lazima ataangalolia clouds haijalishi ni makini au sio makini, hiyo ITV huwa inajaza watu saa mbili pekee kwa ajili ya taarifa ya habari baada ya hapo vipindi vingine watu wengi huwa hawatazami
Mi naskiaga Magu akiongelea kutokea cloudsITV siwezi angalia tena magufuli ashaimiliki imekuwa Bomu zaidi ya tbccm.
Austere Malivika aling'ara sana wakati tukiichapa M23. Tunahitaji habari za kimataifa pia. Ukijiangalia sana mwenyewe unakosa kuona fursa zilizo nje.Wanatakiwa waongeze habar za ndani....hatutaki kusikia habari za sijui kenya..malawi,Uganda,drc..sijui kitu gani wanababaika...wakat hizo nchi uwezi kuta zinaonyesha habari zetu..wakati sisi tunaonyesha za kwao wakati watazamaji wao hakuna hapa kwetu.....pill wanatakiwa waongeze muda wa taalifa ya habari...mpaka lisaa na..zaidi..no mawazo tu
Hapo tupo pamoja.....Taarifa ya habari ya Azam ndio bora zaidi kwangu kwa Sasa, sijaona tv nyingine.!
Labda ndio wanaoongeza viewers...viewers ni viewers haijalishi age...na hao ndio wako addicted na TVsMara nyingi naona vijana wa sekondari na ma house girl wanapenda clouds...
kwa hili nimegundua some media zinabidi kujitafakari sana,kuna moja inapendwa sana na watu wanaojielewa sana
Kwani sisi wazee siyo watazamaji walengwa? Nimekuwa mtazamaji wa Isidingo kwa karibu miaka 20 sasa. Wakiiondoa ili waonyeshe sijui shilawadu ili wavutie vijana wa kiswahili itakuwa shauri yao. Nadhani ustaarabu ndo unaotofautisha ITV na Mawingu, kwa hiyo haiwezi kupoteza watazamaji. Labda watanzania wote wageuke waswazinilipenda sana kuangalia ITV nikiwa tz,but majuzi nimerudi nikakuta vipindi havina mvuto kabisa.I think wanatakiwa wabafilike,mfano Isidingo sidhani kama inawagazamaji wengi.Nadhani inabadilika sasa na kua TV ya wazee.
Kwahiyo unataka kutuhamasisha na sisi tuwe tunaangalia unachikiona wewe, sijaona hoja ya msingi hapo.Takwimu za hivi karibuni zinazoonesha kituo cha televishen cha Clouds kikiwa kinaongoza kutazamwa na watazamaji wengi kimepeleka shockwaves na kilio kwa kituo ambacho kilikuwa kinaongoza kutazamwa kwa mda mrefu cha ITV.
Hali hii inahatarisha pia wazamini wa vipindi ambao wamekuwa wakinunua airtime ya matangazo kwa kipindi kirefu.
Just imagine wewe ndio muuzaji wa bidhaa fulani mathalani sabuni na unataka uitangaze alafu takwimu zinasema kuwa kituo fulani kinatazamwa zaidi, unadhani utajisumbua kupeleka matangazo yako ITV? Iwapo utayapeleka ITV definitely utataka utozwe pesa kidogo kuliko rates ambazo utapewa clouds.
Hali hii imethibitishwa na taarifa za kucheleweshwa kwa mshahara zilizotolewa na ITV, kitu ambacho kilikuwa hakijawahi kusikika kwa miaka ya nyuma.
Kuhaha kwingine kumeonekana baada ya ITV kulegeza msimamo wao na 'kuachia bure' matangazo yao kwa njia ya mtandao. yani sasa ukiwa na ile app yao, unaweza kuangalia matangazo ya ITV bure kupitia njia ya mtandao.
Jitihada zao zimekuja when it was too little too late... Ikumbukwe kuwa ITV ndicho kilikuwa kituo chenye watangazaji mahiri na wenye mvuto kama kina Kitenge ila wakati wanajiondoa ITV ilionesha kutowashobokea, kitu ambacho kimewafanya kupoteza watangazaji ambao walikuwa wanahamasisha watazamaji.
Pia wakati ving'amuzi kama star times wakati vinaingia, ITV ilionesha kugoma kujiunga na ving'amuzi hivyo, wakijiona kuwa wao ndio kituo bora na keki ya taifa.
Hiki kiliwafanya wale wasioweza kuipata ITV kwenye ving'amuzi kikimbilia kuangalia channel nyingine na kuifuta ITV kwenye akili zao.
ITV iliendelea kulala usingizi wa pono na kujidanganya kuwa wao ni super brand na kuzidisha fomarlity kwenye vipindi vyao hivyo kuvifanya vipoteze mvuto ihali TV kama clouds zinazoonesha vipindi vya kiswazi kama kile cha SHILAWADU wakizidi kujipatia umaarufu...
Kwa sasa ITV wana kibarua kizito sana kupambana na TV zinazoibukia na wasipojiangalia wanaweza wakazidi kupotezwa kwenye soko la watazamaji wa TV za nyumbani...
Wa TZ si tunapenda udaku ndo maana wanaangalia hiyo Clouds sijui kupunguza stressTakwimu za hivi karibuni zinazoonesha kituo cha televishen cha Clouds kikiwa kinaongoza kutazamwa na watazamaji wengi kimepeleka shockwaves na kilio kwa kituo ambacho kilikuwa kinaongoza kutazamwa kwa mda mrefu cha ITV.