ITV 'Yahaha' baada ya viewers kupungua...

aiseehh!hivi mtu makini ataangalia clouds kweli

hii nchi wajinga wengi utakuta jitu zima linaangalia shilawadu daahhh!!

halafu mnataka Tanzania ya viwanda...
Tunatofautiana interest na hobby. Kuangalia clouds ni moja ya burudani na vijana wengi au mtu yeyote mpenda burudani lazima ataangalolia clouds haijalishi ni makini au sio makini, hiyo ITV huwa inajaza watu saa mbili pekee kwa ajili ya taarifa ya habari baada ya hapo vipindi vingine watu wengi huwa hawatazami
 
Clouds itakua inaangaliwa sanaa na watoto labda na wafanyakazi wa ndani mtu anaye. Jielewa awezi angalia zaidi ya kipindi kimoja clouds ata habari yao mbovuu.Keep it up super bland ITV Akuna kama nyie
Wee! Ngoja nikae kimya hapa maana naweza kuitwa mchochezi bure
 
CLOUDS niyamakonda na magufuli nibora kabisa niangalie movie kuliko kupoteza muda wangu kumuangalia shilawadu
 
Wanatakiwa waongeze habar za ndani....hatutaki kusikia habari za sijui kenya..malawi,Uganda,drc..sijui kitu gani wanababaika...wakat hizo nchi uwezi kuta zinaonyesha habari zetu..wakati sisi tunaonyesha za kwao wakati watazamaji wao hakuna hapa kwetu.....pill wanatakiwa waongeze muda wa taalifa ya habari...mpaka lisaa na..zaidi..no mawazo tu
 
Takwimu za hivi karibuni zinazoonesha kituo cha televishen cha Clouds kikiwa kinaongoza kutazamwa na watazamaji wengi kimepeleka shockwaves na kilio kwa kituo ambacho kilikuwa kinaongoza kutazamwa kwa mda mrefu cha ITV.
Hali hii inahatarisha pia wazamini wa vipindi ambao wamekuwa wakinunua airtime ya matangazo kwa kipindi kirefu...
Just imagine wewe ndio muuzaji wa bidhaa fulani mathalani sabuni na unataka uitangaze alafu takwimu zinasema kuwa kituo fulani kinatazamwa zaidi, unadhani utajisumbua kupeleka matangazo yako ITV? Iwapo utayapeleka ITV definitely utataka utozwe pesa kidogo kuliko rates ambazo utapewa clouds.

Hali hii imethibitishwa na taarifa za kucheleweshwa kwa mshahara zilizotolewa na ITV, kitu ambacho kilikuwa hakijawahi kusikika kwa miaka ya nyuma.
Kuhaha kwingine kumeonekana baada ya ITV kulegeza msimamo wao na 'kuachia bure' matangazo yao kwa njia ya mtandao. yani sasa ukiwa na ile app yao, unaweza kuangalia matangazo ya ITV bure kupitia njia ya mtandao...
Jitihada zao zimekuja when it was too little too late... Ikumbukwe kuwa ITV ndicho kilikuwa kituo chenye watangazaji mahiri na wenye mvuto kama kina Kitenge ila wakati wanajiondoa ITV ilionesha kutowashobokea, kitu ambacho kimewafanya kupoteza watangazaji ambao walikuwa wanahamasisha watazamaji.
Pia wakati ving'amuzi kama star times wakati vinaingia, ITV ilionesha kugoma kujiunga na ving'amuzi hivyo, wakijiona kuwa wao ndio kituo bora na keki ya taifa.
Hiki kiliwafanya wale wasioweza kuipata ITV kwenye ving'amuzi kikimbilia kuangalia channel nyingine na kuifuta ITV kwenye akili zao.
ITV iliendelea kulala usingizi wa pono na kujidanganya kuwa wao ni super brand na kuzidisha fomarlity kwenye vipindi vyao hivyo kuvifanya vipoteze mvuto ihali TV kama clouds zinazoonesha vipindi vya kiswazi kama kile cha SHILAWADU wakizidi kujipatia umaarufu...
Kwa sasa ITV wana kibarua kizito sana kupambana na TV zinazoibukia na wasipojiangalia wanaweza wakazidi kupotezwa kwenye soko la watazamaji wa TV za nyumbani...
Samahani nime quote andiko lote, ila kwa makusudi ili kuonyesha jamaa kaandika uongo na kwa mihemuko tu Sidhani kama hilo lina uhalisia
 
Habari saa mbili star TV, saa tatu dira ya dunia BBC baadaye kama nikiwa na muda naangaliaga movie TABIBU au miziki TV E. Ila ITV inabidi ibadilike ww kipindi kama ISIDINGO wanakipendea nn, alafu wajitahidi kuviandaa vipindi vyao vizuri, kuhusu clouds TV hilo halina ubishi, lazima watakuwa wanazikimbiza TV nyingine, hapa home wadogo zangu ndio TV yao sometime natumiaga mpaka ubabe, ili niangalie vipindi ninavyovipenda.
 
Jamani kweli ITV unafananisha na Clouds!! tangu nianze kwenda bar kupata moja moto au baridi au kwenye mikusanyiko ya watu wazima sijawahi sikia watu wanashout eti tuwekee clouds tusikilize taarifa ya habari ila ukichelewesha kutune ITV utasindikizwa na matusi kama ni baa. Inaonyesha mtoa mada unakaa sana nyumbani kung'ang'aniana remote na watoto ndo wanaopenda clouds.
 
Ukitaka kujua kuwa takwimu zilizotolewa ni za kweli fuatilia mada ambazo mara nyingi zinakuwa na views na comments nyingi humu zinahusiana na nini utagundua za mambo ya kijinga kijinga ndizo zinaongoza kuliko mambo ya maana.
Na pia fuatilia threads nyingi zinazoanzishwa ni za vitu easy easy na vya ajabu ajabu
 
Takwimu za hivi karibuni zinazoonesha kituo cha televishen cha Clouds kikiwa kinaongoza kutazamwa na watazamaji wengi kimepeleka shockwaves na kilio kwa kituo ambacho kilikuwa kinaongoza kutazamwa kwa mda mrefu cha ITV.
Hali hii inahatarisha pia wazamini wa vipindi ambao wamekuwa wakinunua airtime ya matangazo kwa kipindi kirefu...
Just imagine wewe ndio muuzaji wa bidhaa fulani mathalani sabuni na unataka uitangaze alafu takwimu zinasema kuwa kituo fulani kinatazamwa zaidi, unadhani utajisumbua kupeleka matangazo yako ITV? Iwapo utayapeleka ITV definitely utataka utozwe pesa kidogo kuliko rates ambazo utapewa clouds.

Hali hii imethibitishwa na taarifa za kucheleweshwa kwa mshahara zilizotolewa na ITV, kitu ambacho kilikuwa hakijawahi kusikika kwa miaka ya nyuma.
Kuhaha kwingine kumeonekana baada ya ITV kulegeza msimamo wao na 'kuachia bure' matangazo yao kwa njia ya mtandao. yani sasa ukiwa na ile app yao, unaweza kuangalia matangazo ya ITV bure kupitia njia ya mtandao...
Jitihada zao zimekuja when it was too little too late... Ikumbukwe kuwa ITV ndicho kilikuwa kituo chenye watangazaji mahiri na wenye mvuto kama kina Kitenge ila wakati wanajiondoa ITV ilionesha kutowashobokea, kitu ambacho kimewafanya kupoteza watangazaji ambao walikuwa wanahamasisha watazamaji.
Pia wakati ving'amuzi kama star times wakati vinaingia, ITV ilionesha kugoma kujiunga na ving'amuzi hivyo, wakijiona kuwa wao ndio kituo bora na keki ya taifa.
Hiki kiliwafanya wale wasioweza kuipata ITV kwenye ving'amuzi kikimbilia kuangalia channel nyingine na kuifuta ITV kwenye akili zao.
ITV iliendelea kulala usingizi wa pono na kujidanganya kuwa wao ni super brand na kuzidisha fomarlity kwenye vipindi vyao hivyo kuvifanya vipoteze mvuto ihali TV kama clouds zinazoonesha vipindi vya kiswazi kama kile cha SHILAWADU wakizidi kujipatia umaarufu...
Kwa sasa ITV wana kibarua kizito sana kupambana na TV zinazoibukia na wasipojiangalia wanaweza wakazidi kupotezwa kwenye soko la watazamaji wa TV za nyumbani...

Hebu pita mtaani kwetu saa hizi utajua ITV NI WAKOJE NYAU WE
 
ITV ndo unaifananisha na kina mwewe?!! Yaani wewe ndo umekosa mwelekeo kabisaa. Hamna channel inayoonyesha habari zenye kiwango kama ITV
 
Sister acha unafiki ulijuaje kuwa kuna kipindi kinaitwa shilawadu kaka nawewe sio muumini wa tv hiyo?
 
Taarifa ya habari ya Azam ndio bora zaidi kwangu kwa Sasa, sijaona tv nyingine.!
 
nilipenda sana kuangalia ITV nikiwa tz,but majuzi nimerudi nikakuta vipindi havina mvuto kabisa.I think wanatakiwa wabafilike,mfano Isidingo sidhani kama inawagazamaji wengi.Nadhani inabadilika sasa na kua TV ya wazee.
sawa mkuu tumejua kuwa ulienda nje
 
Unajifariji...subir saa mbili usiku alafu ufanye utafiti
It might be possible due to the trend of ITV not giving weight to news from the opposition! Wamekuwa biased??? mno. Habari za kuonewa kutoka wa waemaji wa upinzani huwa hawazitangazi. Nakuhakikishia kambi ya upinzani imeanza kuwa na negative attitude towards ITV, rekebisha. Najua hali inabana, lakini............................
Definitely ITV was superb!
 
Takwimu za hivi karibuni zinazoonesha kituo cha televishen cha Clouds kikiwa kinaongoza kutazamwa na watazamaji wengi kimepeleka shockwaves na kilio kwa kituo ambacho kilikuwa kinaongoza kutazamwa kwa mda mrefu cha ITV.
Hali hii inahatarisha pia wazamini wa vipindi ambao wamekuwa wakinunua airtime ya matangazo kwa kipindi kirefu...
Just imagine wewe ndio muuzaji wa bidhaa fulani mathalani sabuni na unataka uitangaze alafu takwimu zinasema kuwa kituo fulani kinatazamwa zaidi, unadhani utajisumbua kupeleka matangazo yako ITV? Iwapo utayapeleka ITV definitely utataka utozwe pesa kidogo kuliko rates ambazo utapewa clouds.

Hali hii imethibitishwa na taarifa za kucheleweshwa kwa mshahara zilizotolewa na ITV, kitu ambacho kilikuwa hakijawahi kusikika kwa miaka ya nyuma.
Kuhaha kwingine kumeonekana baada ya ITV kulegeza msimamo wao na 'kuachia bure' matangazo yao kwa njia ya mtandao. yani sasa ukiwa na ile app yao, unaweza kuangalia matangazo ya ITV bure kupitia njia ya mtandao...
Jitihada zao zimekuja when it was too little too late... Ikumbukwe kuwa ITV ndicho kilikuwa kituo chenye watangazaji mahiri na wenye mvuto kama kina Kitenge ila wakati wanajiondoa ITV ilionesha kutowashobokea, kitu ambacho kimewafanya kupoteza watangazaji ambao walikuwa wanahamasisha watazamaji.
Pia wakati ving'amuzi kama star times wakati vinaingia, ITV ilionesha kugoma kujiunga na ving'amuzi hivyo, wakijiona kuwa wao ndio kituo bora na keki ya taifa.
Hiki kiliwafanya wale wasioweza kuipata ITV kwenye ving'amuzi kikimbilia kuangalia channel nyingine na kuifuta ITV kwenye akili zao.
ITV iliendelea kulala usingizi wa pono na kujidanganya kuwa wao ni super brand na kuzidisha fomarlity kwenye vipindi vyao hivyo kuvifanya vipoteze mvuto ihali TV kama clouds zinazoonesha vipindi vya kiswazi kama kile cha SHILAWADU wakizidi kujipatia umaarufu...
Kwa sasa ITV wana kibarua kizito sana kupambana na TV zinazoibukia na wasipojiangalia wanaweza wakazidi kupotezwa kwenye soko la watazamaji wa TV za nyumbani...
Maelezo yako umeyapata kwao? Mbona unawasemea? Wewe ndo afisa habari wa ITV?
 
Pia wakati ving'amuzi kama star times wakati vinaingia, ITV ilionesha kugoma kujiunga na ving'amuzi hivyo, wakijiona kuwa wao ndio kituo bora na keki ya taifa.
hapa ndio walikosea, hata dstv walichelewa kujiunga sana bila kujua wanajipoteza wenyewe
 
Nenda katazame matokeo yako yametoka then uje utupe mrejesho.
 
Back
Top Bottom