ITV 'Yahaha' baada ya viewers kupungua...

ITV 'Yahaha' baada ya viewers kupungua...

Hata hivyo wanataakiwa wabuni vipindi vimpya vya uswazi
 
Clouds, wale comedians au Clouds ile ya cheerleaders and praise singers? Sinaga muda nao!
 
TZ  TV Audience Share Q4.gif
Tanzania%20TV%20Q4%202016.gif


Tanzania Media Measurement (KGMM) Report
 
Weka ITV halafu mwambie mhudumu aniongezee Valeur mbili
 
Ile taarifa ya habar km mtangazi anapiga stor kijiweni ufananishe na ITV,umetumwa na tapeli ruge si bure
 
ase clouds ni wajinga...
siku polls zkionyesha muda clouds wanao ongoza ndo wana wanatangaza
very low kwa kweli
waje annual tuone nan anaongoza
 
Mi ni ITV kwa habari na EATV kwa burudani

Cloudz sijui lini nilitizama last time ni miaka mingapi
 
nilipenda sana kuangalia ITV nikiwa tz,but majuzi nimerudi nikakuta vipindi havina mvuto kabisa.I think wanatakiwa wabafilike,mfano Isidingo sidhani kama inawagazamaji wengi.Nadhani inabadilika sasa na kua TV ya wazee.
Kumbe iendelee kuwepo ili uje uiangalie ukiwa mzee
 
aiseehh!hivi mtu makini ataangalia clouds kweli

hii nchi wajinga wengi utakuta jitu zima linaangalia shilawadu daahhh!!

halafu mnataka Tanzania ya viwanda...
Hapa JF kuna mtu aliwahi kusema ukitenga mafungu mawili moja la kinyesi na lingine la asali, nzi watajazana kwenye kinyesi............ndio kinachotokea kwenye media zetu.
 
aiseehh!hivi mtu makini ataangalia clouds kweli

hii nchi wajinga wengi utakuta jitu zima linaangalia shilawadu daahhh!!

halafu mnataka Tanzania ya viwanda...
Wajinga ndo wengi kuliko waerevu na kwa mantiki hiyo kama unaweza kuwavuta wajinga basi wewe ndo unakuwa na watazamaji wengi ambao ndo mtaji wa hivi vituo.
 
yaani ujinga mtupu....!!!clouds kabisa halafu wanashangaa kufeli DSM mitihani ya form four...

yaani siipendi hiyo chaneli
ujinga mtupu
Huo ni unafiki tu unasema hupendi lakini wewe ndiye nambari 1 kuangalia clouds.
 
ITV ndo unaifananisha na kina mwewe?!! Yaani wewe ndo umekosa mwelekeo kabisaa. Hamna channel inayoonyesha habari zenye kiwango kama ITV

Wabongo wengi sio Wapenzi wa Habari wala vipindi serious ni watu wa masihara na Upuuzi Upuuzi hivyo si ajabu Clouds kuwa na Viewers wengi!

Inazungumziwa Wingi wa Watazamaji sio wingi wa Watazamaji Makini!

Magazeti ya Udaku ya Shigongo Yana Wateja wengi kuliko Magazeti Makini Kama ya Mwananchi
 
Clouds itakua inaangaliwa sanaa na watoto labda na wafanyakazi wa ndani mtu anaye. Jielewa awezi angalia zaidi ya kipindi kimoja clouds ata habari yao mbovuu.Keep it up super bland ITV Akuna kama nyie
Itv siyo superbrand tena kiti kimeshachukuliwa na Azam wewe uko wapi kwanza mm kwangu siangalii hiyo channel yenu
 
Back
Top Bottom