Mrema aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kubebwa na kusukumwa kwenye gari.Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo
1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa
2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?
Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
Anzisha kituo chako cha Tv halafu uwe unarusha habari za mikutano ya Chadema live ili kukwepa kuhaririwa kwa picha za matukio yote. Kwani wewe kinakuuma nini hapo? Son of a btch
mkuu sipo huko na sina siasa chafu
kakojoe ukalale
imekuuma eee
kalale au leo hujapata buku 7!
kwa hiyo imekuuma sana au, kesho jifanye mwandishi wa habari na utoa taarifa yako isikuwa na editing,
watu wengine bwana!!!!!!!!!!!
inakusaidia nini wewe?hayo malamiko yako yataondoa mgao wa umeme?
Anzisha kituo chako cha Tv halafu uwe unarusha habari za mikutano ya Chadema live ili kukwepa kuhaririwa kwa picha za matukio yote. Kwani wewe kinakuuma nini hapo? Son of a btch
Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo
1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa
2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?
Tuache unafiki na mimi sio mnafiki[/QUOTE]
mnafiki anafananaje?
anasema vitu kwa ushabiki bila kujali madhara!
Ha ha ha ha ha ha ha...yani mlivyo na akili uharo, mara mseme kuwa wale watu wengi walienda ili kuleta vurugu, sasa mnasema walikuwa wachache. Kweli CDM inawachanganya. Hiyo ndio CHADEMA, nawaasa wana KIGOMA na hasa hawa vijana wanaoandamana kuwa ni wakati sasa kuandamana juu ya umaskini wa mkoa wao badala ya kuandamana dhidi ya Dr Slaa na Mbowe.
ITV wafanye editing kwa manufaa ya nani? Wewe utakuwa umevurugwa na akili yako imejaa majanga.
ITV wafanye editing kwa manufaa ya nani? Wewe utakuwa umevurugwa na akili yako imejaa majanga.
Mengi, Mtei, Mbowe, Lema, unadhani kuna nini hapo.
Mrema aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kubebwa na kusukumwa kwenye gari.
Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kurushiwa mawe na kufukuzwa jukwaani kwa mabango.
Lipumba aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kupewa kibano na polisi.
Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kuwaamrisha polisi wawadhibiti wananchi na kuokolewa na kuhifadhiwa na polisi ili asidhuriwe.
Haya yote ni maendeleo...
Cc Sikonge
Video tumeziona ,pia picha tumeziona ktk mitandaoa mbali mbali na ktk vyombo vya habari kama ITV.Ni lazima wadau tukushangae kutoka huko ulikotoka na kuamua kupotosha kwa makusudi,ni vizuri ukajiuliza maswali mengi kabla ya kuamua jambo fulani...
huna lolote ! vijana wadogo sana mnakalia majungu tu , kama wewe na akili zako unaweza kuwa mfuasi wa zitto , unadhani kuna unachokipigania kweli ? itakuwaje zitto akihamia ccm , kama inavyotarajiwa ? wewe utaenda wapi? kuwa huru kijana usiburuzwe tu , NIMEKUDHARAU SANA !
wale watu kwa kuangalia tu ni zaidi ya wangapi?
Picha mnato za mabomu zimeonyesha watu wangapi?
mimi ni mtu na msimamo yangu ndugu na huwa sikurupuki!