Itv wame edit picha -kigoma

Itv wame edit picha -kigoma

Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..

Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo

1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa

2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?

Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
kama maneno yako niya kinafiki niwazi we ni mnafiki
 
ITV na Nipashe siku hizi wamekuwa wafuasi wa mmachame mwenzao sio wa kuangalia kabisa hasa katika suala hili la Zitto,.
Watanzania mmelogwa na nani?
Ukabila na udini ni ushamba tu kama mtu mzima hujalogwa.
 
Hizi bk 7 zitapita na wajinga wote. Werevu tu ndio watayaona mabadiliko.
 
attachment.php
 
ITV na Nipashe siku hizi wamekuwa wafuasi wa mmachame mwenzao sio wa kuangalia kabisa hasa katika suala hili la Zitto,.

Ndiyo maana kuna TV station nyingine unabadilisha channel tu haina tofauti na mfumo wa vyama vingi sijui kwanini hamumshauri Zitto ahamie chama kingine
 
Last edited by a moderator:
Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..

Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo

1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa

2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?

Tuache unafiki na mimi sio mnafiki

Weka picha HALISI hapa,
 
.......Ubishi wa kitoto na wa kishamba kabisa huu,tatizo lenu magamba mna force ukweli uwe uongo,nyekundu kuwa njano imekula kwenu 2015 itabaki kuwa historia tu...
 
Hizo hizo walizo edit ITV ndo tumezipenda,lete utumbo mwingine.
 
Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema...
... Kwanza CHADEMA haina wanachama wenye msimamo mkali! Au ulimaanisha mwanachama wa nanihii?
 
Toa ushahidi...na kama huna kaa kimya....

Picha za mnato kibao zinaonyesha watu wengi sana, wewe zote hizo unazi-ignore halafu unasema watu walikuwa wachache bila kutoa ushahidi mbadala, huku ukiwaeleza watu wale wale wa hapa JF ambao wameona hizo picha za mnato zenye watu kibao !

Hivi nikukuita mpumba-vu nitakuwa nakosea ?

sipo katika ccm ila watu si wengi kule mkuu
 
.......Ubishi wa kitoto na wa kishamba kabisa huu,tatizo lenu magamba mna force ukweli uwe uongo,nyekundu kuwa njano imekula kwenu 2015 itabaki kuwa historia tu...

Mgogoro Chadema umeipa ushindi CCM 2015.
 
Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini.. Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo 1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa 2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile 3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why? Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
wewe ni mnafiki kama shetani alivyo.mawazo yako kama uharo wa fisi.kama sio mnafiki nani kakutuma uandike ulichoandika humu.sepa humu na pumba zako goigoi wewe
 
kwa kawaida picha zote zahabari hueditiwa, pia mabomu yalukuea hatawanyi mkutano, bali 'wale vijana wachache'

jibu murua kabisa, asipoelewa basi hata mbingu haimfai na shetani hamtaki
 
Ugonjwa wa macho unawasumbua Watanzania wengi, nenda hospitali ukapime kabla hujaharibikiwa zaidi!
 
Back
Top Bottom