Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,430
- 271,914
kwani kuna kilichoandikwa hapo zaidi ya ujinga , unafiki na uzandiki , kila mtu kajionea hapa jf , sasa kwanini atuletee ya itv ?umeelewa kilicho andikwa??
kwani kuna kilichoandikwa hapo zaidi ya ujinga , unafiki na uzandiki , kila mtu kajionea hapa jf , sasa kwanini atuletee ya itv ?umeelewa kilicho andikwa??
Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo
1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa
2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?
Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
sipo katika ccm ila watu si wengi kule mkuu
mtajibeba huu mwaka mmemuabisha zitto bure kwa kumuahidi kuwa mtafanikisha mikutano haifanyiki kwa kukosa watu, mara maandamano, mara mmeanza kurusha mawe kabisa,,,,pwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,weka picha zako unazozitaka
mkuu picha halisi kulingana na mazingira watu sio wengi kiviile !
mkuu picha halisi kulingana na mazingira watu sio wengi kiviile !
huna lolote ! vijana wadogo sana mnakalia majungu tu , kama wewe na akili zako unaweza kuwa mfuasi wa zitto , unadhani kuna unachokipigania kweli ? itakuwaje zitto akihamia ccm , kama inavyotarajiwa ? wewe utaenda wapi? kuwa huru kijana usiburuzwe tu , NIMEKUDHARAU SANA !Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo katika nchi yetu na tena na msimamo mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano sehemu mbalimbali nchini na hasa kigoma na sehemu zingine nchini..
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na nimegundua yafuatayo
1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama ilivyoripotiwa
2. Mhariri ame edit picha za watu na kuzifanya zionekane kuna watu wengi kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu yanapigwa na watu kukimbia utaona kutoka mkutanoni watu wachache tu ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya machozi why?
Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
Mabomu ya machozi sio rafiki wa binaadam ndio maana hata police huvaa vifaa maalumu kujikinga ili kutekeleza majukumu yake,unao uhakika gani kama mwandishi aliweza kulichukua tukio lile kwa wakati uleule mabomu ya machozi yalipoanza kulipuliwa na police ?.Kwa sababu mlishajiandaa kupotosha ,sishangai mkipinga habari iliyoletwa na Itv.
mkuu usipende kumeza kila kitu picha ya mabomu wamekimbia watu kidogo
je watu kumi wanaweza kufunga mkutano?
ITV na Nipashe siku hizi wamekuwa wafuasi wa mmachame mwenzao sio wa kuangalia kabisa hasa katika suala hili la Zitto,.