By scatter:
Ndugu mimi ni mfuasia wa maendeleo
katika nchi yetu na tena na msimamo
mkali katika chama chetu cha chadema
sikatai mkuu slaa kufanya mikutano
sehemu mbalimbali nchini na hasa
kigoma na sehemu zingine nchini..
Nimeangalia taarifa ya habari ya itv na
nimegundua yafuatayo
1. Watu walikuepo mkutano kwa ajili ya
kumsikiliza slaa lakini sio wengi kama
ilivyoripotiwa
2. Mhariri ame edit picha za watu na
kuzifanya zionekane kuna watu wengi
kwa kuzoom picha kiasi utadhani upo
mjini vile
3. Picha halisi ni zile wakati mabomu
yanapigwa na watu kukimbia utaona
kutoka mkutanoni watu wachache tu
ndio waliokuwa wanakimbia mabomu ya
machozi why?
Tuache unafiki na mimi sio mnafiki
Ni vyema maji yakaitwa maji na sio kulazisha maji kuita mma.