ITV vs Rais Magufuli na CCM

Status
Not open for further replies.
Mleta mada kwani ITV ni ya serikali au ni ya mfanyabiashara? Dai unayoyadai kama TBC-CCM ikishindwa kufanya hivyo kwani ndiyo inayoendeshwa kwa kodi yako
 
Kwa nini usifungue na wewe tv yako akatangaza hizo habari zikawa zakwanza
 
Unawapangia ipi iwe ya kwanza? Anzisha kituo chako panga unavyotaka wewe. Hakuna kituo kama ITV, ukisema taarifa ya habari watu tayari wanapata picha ya ITV kichwani mwao.
 
Ulitaka waiweke mwanzo ukishaiona uondoke.
 
Swali ni je, ni kweli au si kweli? Hiyo ya chuki ni yako. Ni kitu simple tu ambacho ni observation. Ingawa very few can notice that. Hakuna chuki wala ugomvi ila message imefika.
 
Unawapangia ipi iwe ya kwanza? Anzisha kituo chako panga unavyotaka wewe. Hakuna kituo kama ITV, ukisema taarifa ya habari watu tayari wanapata picha ya ITV kichwani mwao.

Siwapangii. Na ni kweli ITV ni kituo bora. Nimeona tu kuna tofauti na ilivyokuwa kwa JK. Habari zake zilipewa uzito na kusomwa mwanzo. Sasa siku Rais kahutubia bunge unaanza na habari za wavuvi sijui wa wapi wale...
 
Kwa nini usifungue na wewe tv yako akatangaza hizo habari zikawa zakwanza

Kwa sababu sina uwezo huo. Il hata ningekuwa nao isingekuwa kwa sababu ya suala hili.
 
Mleta mada kwani ITV ni ya serikali au ni ya mfanyabiashara? Dai unayoyadai kama TBC-CCM ikishindwa kufanya hivyo kwani ndiyo inayoendeshwa kwa kodi yako

Sio ya serikali. Ila inatangazia umma.
 
Ukitaka tbc iwe kama itv au azam tv,serikali ikubal kuajili mkurugenz kama tido,au aliye tayari kuas/au kukigeuka chama kama anavyofanya jpm
 
Huu ni umbea yawezekana hata mada hii umeiandika ukiwa bar tena kama kawaida yako
 
Haulazimishwi kutazama itv television ziko nyingi unaweza kutazama startv ambayo niya ccm zaidi..
 
Mleta mada una chuki binafsi na Mengi sasa unataka magu amkomeshe kisa anatokea sehemu usiyotoka wala kuipenda. Ushindwe na ulegee kwa chuki zako

mleta mada yupo sahihi kabisaa hana chuki na mtu, yote alioyasema yana ukweli 100%. kwa taarifa yenu kituo cha AZAM kwa sasa ndio tishio hakina mpinzani na co ndani ya tz tu! bali EA nzima,ikifuatia na Star tv, star tv wananifurahisha sana habarizao za ndani na nje zimetulia sana! hapo nadhani umenipata vizuri dadaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…