ITV na shida ya kukatika matangazo DStv

ITV na shida ya kukatika matangazo DStv

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
20,739
Reaction score
22,487
Wakuu,nikiwa kama mtu nipendaye kuifuatilia habari za ndani,hupendelea kutazama ITV kutokana na mfumo wa taarifa yao ya habari

Lakini linalochosha kwenye kisimbusi cha DStv ni kukatika mara kwa mara kwa matangazo na kuonekana ujumbe 'technical difficulties'...ninachojiuliza ni ITV hawajui hili au ni suala DStv?..maana lina muda sasa
 
Tatizo halipo itv tatizo ni hao DStv
It anatoa feed 72° shida IPO kwa anaepokea ndio maana kwanini ikate DStv peke yeke wakati kwenye visimbuzi haikati na wanachukulia sehemu Moja,
 
Kuwa mkweli mkuu kifurushi chako hakijaisha?😂😂kama kifurushi chako kipo full huwezi kuangalia hizi channel kiukweli ni upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom