Kigger
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 805
- 710
ITV tokea ilipoisha second chance sijawahi kufatilia tamthilia tena kwao. hivi wana tamthilia gani za kilatin siku hizi?
mi tokea sekreto del mo
ITV tokea ilipoisha second chance sijawahi kufatilia tamthilia tena kwao. hivi wana tamthilia gani za kilatin siku hizi?
Kama umezaliwa miaka hii ya 2017 huwezi kuelewa kabisa ndugu...... Acha tu..... Tunaifuatilia tokea 1998Hivi hiyo Isidingo inahusu nini
Ameuliza inahusu nini..?Kama umezaliwa miaka hii ya 2017 huwezi kuelewa kabisa ndugu...... Acha tu..... Tunaifuatilia tokea 1998
Hiyo inaitwa UraibuWanabodi,
Mimi ni mshabiki wa tamthilia za ITV Tangu imeanzishwa, walianza na "Egoli" Place of Gold, ndipo wakaja na "Isidingo" The Needy.
Kitu ambacho ITV imejijengea heshima kubwa, ni ile concistance yake, Isidingo ni saa 1:30 usiku. Kwa vile naipenda sana tamthilia ya Isidingo and I can't afford to miss it, kumenifanya niwe a very good father, kila saa 1:30 jioni lazima niko home, unless otherwise.
Ikitokea kwa sababu yoyote nimemiss episode ya jioni, kesho yake asubuhi saa 3:30 nitaangalia marudio nikiwa popote kupitia simu yangu kwa kutumia ile ITV online kwenye play store.
Kitu ambacho I never miss ni marudio ya wiki nzima, Jumamosi usiku kuanzia Saa 5:00 usiku, baada ya kumuangalia Zomboko na Hawavumi lakini Wamo.
Wiki hii nilikuwa busy hivyo sikuweza kuangalia Isidingo wiki nzima, hivyo jana jioni nikasubiri marudio ya wiki, hayakuwepo, bila hata scroll ya kuapologize.
Baada ya kukosa marudio ya jana
marudio mengine ya wiki ni Jumapili saa 4:00 asubuhi. Muda huo ni muda wangu wa kanisani huwa nasali misa ya pili. Lakini kutokana na jana kutokuwepo marudio ya wiki, leo ilinibidi nijihimu kuamka saa 11:00 alfajiri kusali misa ya kwanza saa12:00 asubuhi hadi saa 3:00 ili saa 4:00 niangalie marudio ya wiki,
Ilipofika saa 4:00 kuwasha ITV, duh...!. Isidingo haipo!. Kulikuwa sijui na likipindi gani, kwa vile nilipania Isidingo, hata wangeonyesha kipindi kizuri vipi, mimi bado ningeona ni likipindi tuu!.
Where is the ITV concistance?. Ukiwa fan wa tamthilia fulani, unakuwa na addiction, ukikosa unapata withdrawer symptoms ya hasira na kukasirika, ingekuwa sababu ni live program, huwa tunaelewa na tunavumia, lakini kuondoa Isidingo kuweka recorded program yoyote, sio kututendea haki sisi watazamaji wenu watiifu.
Wito kwa menejmenti ya ITV, tunaomba mtutendee haki sisi watazamaji wenu, kipindi fulani kwenye series kisipokuwepo kwa sababu yoyote, tujulisheni kwa scroll.
Hata kama alipokuwepo Mzee alikuwa hafanyi lolote kwenye programming na scheduling, hatukuzoea kuona mambo kama haya, sasa kwa vile Mzee Mengi hayupo, halafu, yanatokea mambo kama haya, msitufanye tukaanza kumkumbuka Mzee Mengi, kuwa haya sasa ndio yanatokea kwa vile Mzee hayupo!.
Japo baada ya hicho kipindi, Isidingo ilikuja kuonyeshwa, two episodes za mwanzo zilikuwa skipped, missing two episodes, is a big loss kwa mfuatiliaji wa haya makitu. Matatizo kama haya hakuna kabisa kwenye DSTV, kwa kutumia Explorer, unarekodi episodes zote na utaangalia at your own time, ITV hawana PVR, na kwenye DSTV hawapo, what a loss?.
Msitufanyie hivi.
P.
kweli aisee - hawa jamaa wame lost sana siku hizi!Wanabodi,

Nimezaliwa 2002Kama umezaliwa miaka hii ya 2017 huwezi kuelewa kabisa ndugu...... Acha tu..... Tunaifuatilia tokea 1998
Sasa unafuata nini humu badala ya kujisomea?Nimezaliwa 2002
Nakushauri Paschal wewe ni mwanahabari mzuri sana tuongelee mambo muhimu tuachane na ivi vitu personal ata ukikataa sisi ni watoto wa kambo tumekatwa mikiaWanabodi,
Mimi ni mshabiki wa tamthilia za ITV Tangu imeanzishwa, walianza na "Egoli" Place of Gold, ndipo wakaja na "Isidingo" The Needy.
Kitu ambacho ITV imejijengea heshima kubwa, ni ile concistance yake, Isidingo ni saa 1:30 usiku. Kwa vile naipenda sana tamthilia ya Isidingo and I can't afford to miss it, kumenifanya niwe a very good father, kila saa 1:30 jioni lazima niko home, unless otherwise.
Ikitokea kwa sababu yoyote nimemiss episode ya jioni, kesho yake asubuhi saa 3:30 nitaangalia marudio nikiwa popote kupitia simu yangu kwa kutumia ile ITV online kwenye play store.
Kitu ambacho I never miss ni marudio ya wiki nzima, Jumamosi usiku kuanzia Saa 5:00 usiku, baada ya kumuangalia Zomboko na Hawavumi lakini Wamo.
Wiki hii nilikuwa busy hivyo sikuweza kuangalia Isidingo wiki nzima, hivyo jana jioni nikasubiri marudio ya wiki, hayakuwepo, bila hata scroll ya kuapologize.
Baada ya kukosa marudio ya jana
marudio mengine ya wiki ni Jumapili saa 4:00 asubuhi. Muda huo ni muda wangu wa kanisani huwa nasali misa ya pili. Lakini kutokana na jana kutokuwepo marudio ya wiki, leo ilinibidi nijihimu kuamka saa 11:00 alfajiri kusali misa ya kwanza saa12:00 asubuhi hadi saa 3:00 ili saa 4:00 niangalie marudio ya wiki,
Ilipofika saa 4:00 kuwasha ITV, duh...!. Isidingo haipo!. Kulikuwa sijui na likipindi gani, kwa vile nilipania Isidingo, hata wangeonyesha kipindi kizuri vipi, mimi bado ningeona ni likipindi tuu!.
Where is the ITV concistance?. Ukiwa fan wa tamthilia fulani, unakuwa na addiction, ukikosa unapata withdrawer symptoms ya hasira na kukasirika, ingekuwa sababu ni live program, huwa tunaelewa na tunavumia, lakini kuondoa Isidingo kuweka recorded program yoyote, sio kututendea haki sisi watazamaji wenu watiifu.
Wito kwa menejmenti ya ITV, tunaomba mtutendee haki sisi watazamaji wenu, kipindi fulani kwenye series kisipokuwepo kwa sababu yoyote, tujulisheni kwa scroll.
Hata kama alipokuwepo Mzee alikuwa hafanyi lolote kwenye programming na scheduling, hatukuzoea kuona mambo kama haya, sasa kwa vile Mzee Mengi hayupo, halafu, yanatokea mambo kama haya, msitufanye tukaanza kumkumbuka Mzee Mengi, kuwa haya sasa ndio yanatokea kwa vile Mzee hayupo!.
Japo baada ya hicho kipindi, Isidingo ilikuja kuonyeshwa, two episodes za mwanzo zilikuwa skipped, missing two episodes, is a big loss kwa mfuatiliaji wa haya makitu. Matatizo kama haya hakuna kabisa kwenye DSTV, kwa kutumia Explorer, unarekodi episodes zote na utaangalia at your own time, ITV hawana PVR, na kwenye DSTV hawapo, what a loss?.
Msitufanyie hivi.
P.
Mimi ni all weather, sio kila kitu ni serious issues, life is living, taking it easy, having a goodtime and enjoyment its all life is all about, na sio serious stuff all the times.Nakushauri Paschal wewe ni mwanahabari mzuri sana tuongelee mambo muhimu tuachane na ivi vitu personal
Ilipoishia week hii. Benjamin amemtia hasara ya milions of Rand Mr Sibeko halafu ame resign kama CEO wa SG.Hii tamthiliya ni habari nyingine, umenikumbusha kipindi naifuatilia sana wakati Tema Sabopedi AKA Lerato anapambana na breast cancer kati mfululizo fulani, nilikua nimezama Deep sana kwa yule dada. Siku hizi mambo mengi kama hivyo ITV nao miyeyusho mingi.
Pongezi nyingi sana mkuu Paskali
Sijawahi kuipenda hii tamthilia hata kidogo
Binafsi nilikuwa mtumwa wa kujitakia wa tamthilia ya ''Days of our lives''...enzi izo inaonyeshwa CTN