ITV mmewakosea sana watanzania

ITV mmewakosea sana watanzania

Mlipewa pesa mkafungulie kituo cha televishen hamkufanya hivyo badala yake mwenyekiti wenu akaenda kutanua dubai sasa leo mnalalama. Huko ndo mngekuwa mnatengeneza madocumentary ya hadi wema akiwa na magwanda kwenye vigodoro mnarusha huko
 
Naomba nikunukuu mtoa hoja
"...Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo..."

Nina maswali machache kwako
1.Vilionywa na nani?
2.Nini ingekuwa matokeo ya wao kukaidi onyo hilo?
3.Je vituo vingine vilionyesha taarifa hiyo ya Mh. LEMA?

Mwisho wa siku ITV na vituo vingine ni wafanyabiashara tu. Hawawezi ku risk uwepo wao kwa sababu mtu fulani apate habari.
Nani huwa hata anawasemea wanapopewa adhabu na mamlaka?
 
.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
 
Hii habari sidhani kama ina mashiko hadi kuianzishia uzi.

Mwaka jana tuliona 'fake news' wakimkaushia na kumchafua Trump lakini leo ni rais wa US.

Tuacheni kulia lia kama Bashite.
 
Ni kituo cha mtu binafsi ana maamuzi yake na wafanyakazi wake,hapa cha msingi kwa sababu kamanda hakupewa kipau mbele basi tususie kuitazama!
 
.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Press Media belongs to the press owner! Mengi hakuona Kama inatija. Ndio maana tunawaambia chadema anzisheni TV yenu muache kuwashika watu uchawi!
 
leo ITV anapondwa jana ilikua TBC kesho sijui atakua nani,tatizo hawa ndugu zetu hawakosagi sehemu ya kusema umenikanyaga,umenionea everything in their favor is right lakini kwa wengine hapana ,wakikosa siku moja tuu hiyo favor hizo kelele ........
 
Acha hisia za kitoto! Kwani habari hiyo ilikuwa na maslahi gani kwa taifa?
Wakati mwingine ukikaa kimya inasaidia kuto expose umbumbumbu wako! Hata kama una chuki na Lema ile habari ilikuwa ni muhimu sana kwa taifa!
 
Haikuwa na umuhimu ndo maana haikuonyeshwa. Muhimu zote zilionyeshwa hiyo ndo simple logic
 
Awamu hii wakisikia Lema, Lissu wanakosa amani kabisa.
 
Back
Top Bottom