ITV mmewakosea sana watanzania

ITV mmewakosea sana watanzania

imekuaje tena kwani spensa lameck yupo wapi ? .ninachojua kila sehemu kuna utalatibu wake labda watalusha Leo
 
.

Mkutano wa Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbless Lema (Mb) ambaye pia ni Waziri kivuli wa mambo ya ndani, habari yake sio tu kwamba haijapewa kipaumbele, Bali haijaoneshwa kabisa katika kituo cha televisheni cha ITV.Kuna taarifa kwamba kituo hicho na vingine vilionywa kutorusha taarifa hiyo.

Kituo cha televisheni cha ITV kimeonesha mapungufu makubwa mno kupata kutokea nchini Kwa Kutokuonesha habari ya Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani, ambaye alikuwa Magereza Kwa zaidi ya miezi minne kwasababu ya kesi za kisiasa.

ITV mmeitia doa tasnia ya habari, mmeonesha mapungufu makubwa katika kuiishi demokrasia ambayo watanzania wanaipigania, na mmesahau kwamba vyombo vya habari ni wadau wakubwa wa demokrasia kwani bila demokrasia hata uwepo wenu kama wanahabari utakuwa mashakani.

Watanzania hawajawahi kukata tamaa, jua liwake, mvua inyeshe, mabadiliko ya kisiasa tutayafikia lazima, ambayo ndiyo msingi wa maendeleo yote.
Halafu unaweza shangaa kesho wakawa MUBASHARA kutoka Dodoma Convention Centre wakirusha mkutano wa kile chama chetu.
 
Hata wakina sepenga walisemaga hayohayo wakiwa lumumba, pamoja na kunywa Maji ya bendera, hivi sasa wako cdm kwenye Mikono salama.
Hawaamini kilichotokea.

What goes around comes around .
Bila kesi ya bangi,wema angekuja huko?

Chadema ni kimbilio la wauza na watumia madawa, na mafisadi
 
Back
Top Bottom